Saturday, 10 March 2018

Tanzania Everyone is scared

In an unprecedented move, leaders from all sectors of society are speaking out about growing assaults on freedoms and political violence.

In Dar es Salaam, Tanzania. Credit: Hendri Lombard/World Bank.
In Dar es Salaam, Tanzania. Credit: Hendri Lombard/World Bank.
On 16 February, Akwinlina Akwiline was on her way to university in Dar es Salaam. She was reportedly heading to the National Institute of Transport, where she was a student, in order to hand in a letter that would allow her to shortly begin her field work. She boarded a bus.
Akwiline, however, never made it to her destination. The 22-year-old student was killed after being hit by a bullet fired by police officers attempting to disperse an opposition rally.
The news of Akwiline’s death was far from the first politically-related tragedy that Tanzanians have endured in recent months. In September 2017, for example, the senior opposition lawmaker and government critic Tundu Lissu only narrowly survived after being shot several times in Dodoma. Meanwhile, just days before Akwiline’s killing, opposition official Daniel John had been found dead with machete wounds in Dar es Salaam.
In a manner unlike after those incidents, however, the death of the innocent student seemed to galvanise public opinion. A wide variety of organisations expressed their frustration at the situation in Tanzania in a rare show of outspokenness.

Monday, 26 February 2018

MAELEZO YA MWENYEKITI WA KAMATI YA UONGOZI TAIFA MHE. JULIUS MTATIRO MBELE YA WAANDISHI WA HABARI [PRESS CONFERENCE] ILIYOFANYIKA LEO JUMATATU TAREHE 26 FEBRUARI, 2018 KATIKA OFISI YA WABUNGE WA CUF MAGOMENI-DAR ES SALAAM.

TULIREJESHE TAIFA LETU KWENYE MISINGI:

Ndugu wanahabari,

Leo tumewaiteni hapa kwa sababu mwelekeo wa Taifa letuni mbaya sana, sisi kama moja ya vyama vya siasa makini na vyenye nguvu hapa nchini, tunalo jukumu la kusema kwa niaba ya wananchi wa Taifa letu –jukumu hilo kikatiba ni kuishauri serikali, kuikosoa, kuchunguza mwenendo wake na kuutolea maoni na mapendekezo ili ijirekebishe.

1. MAUAJI, UTEKAJI NA MASHAMBULIZI;

A. Mauaji ya kinyama

Ndugu wanahabari, Taifa zima linafahamu kuwa vitendo vya mauaji ya kutisha, utekaji na uteswaji wa watu na mashambulizi yenye madhara ya kifo au kuumiza, kwa sasa ni mambo ya kawaida kabisa hapa Tanzania. Kwa kifupi tunawakumbusha matukio ya kutisha ya mauaji ambayo yamelitia taifa leo madoa ya damu slakini hadi sasa vyombo vyenye dhamana havina majibu ya matukio hayo:

1.1 Mauaji ya MKIRU

Mwaka jana kulizuka mauaji mabaya sana ambayo yaliangamiza watu mbalimbali katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji. Mauaji yale yalitokomeza roho za viongozi wa CCM zaidi ya 15 na takribani dazani nzima ya vijana wetu wa Jeshi la polisi. Wabunge walitaka kujadili jambo hilo wakakatazwa na hadi leo watanzania hawajui chochote, nani alikuwa anaua watu MKIRU, alikuwa ana ajenda gani, je alikamatwa, je amefikishwa kwenye mamlaka gani? Haijulikani.

1.2 Tarehe 01 Februari 2016, Diwani wa kata ya Kimwani iliyoko Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera, Silvester Miga (CUF) aliuawa kikatili kwa kukatwakatwa. Baadaye Jeshi la Polisi liliwakamata watu wawili na kumuacha mtuhumiwa mkuu kwa sababu yeye ni kada wa CCM.

1.3 Tarehe 14 Novemba 2015, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita ndugu Alphonce Mawazo aliuawa kikatili kwa kukatwakatwa na silaha zenye ncha kali huko Katoro. Ushahidi unaonesha kuwa waliomshambulia ni vijana wa Green Guard wa CCM na vijana hao wanajulikana mpaka kwa majina yao. Lakini wauaji hawakuwahi kuchukuliwa hatua.
1.4 Tarehe 28 Septemba 2017, Kaimu Mwenyekiti wa CUF Jimbo la Mto Pepo, Zanzibar, Ndugu. Ali Juma Suleiman aliuawa kikatili na ‘Mazombi’, kikosi maalum cha mauaji na utesaji ambacho kila mara huwalenga wanachama wa CUF. Hadi leo, SMZ haina mpango wa kukikomesha kikundi hicho kwa sababu kinaisaidia CCM kupunguza nguvu wafuasi wa CUF kwa kutumia njia haramu na za kinyama.
1.5 Kada na kiongozi wa CHADEMA kata ya Hananasifu Jimbo la Kinondoni, Daniel John, alitekwa tarehe 12 Februari 2018, kesho yake mwili wake uliokotwa katika ufukwe wa Bahari wa Coco-Beach ulioko jijini Dar es Salaam ukiwa na majeraha makubwa, inaonekana aliteswa sana kabla ya kuuawa. Hadi sasa polisi wanapiga danadana.

1.6. Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Bi Akwilina Akwilin, aliuawa kinyama kwa kudunguliwa na risasi ambayo iliingilia upande mmoja wa kichwa chake na kutokea upande mwingine. Akwilina aliuawa tarehe 16 Februari 2018 wakati akiwa kwenye daladala akienda kwenye majukumu yake. Kamishna wa Polisi wa Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa, alieleza askari wote waliofyatua risasi zile wamekamatwa. Baadaye Kamishna huyu wa polisi alikanusha taarifa zake yeye mwenyewe, baadaye zikazimwa na wakubwa zake – hasa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani – mpaka sasa polisi wanatupiana mpira.

1.7. Wilayani Kilombero katika mji wa Ifakara, diwani wa kata ya Namawala, Godfrey Luena (CHADEMA) ameuawa usiku wa 22 Februari 2018 kwa kukatwa mapanga mwili mzima. Kamanda wa polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei ameeleza kuwa kada huyo wa CHADEMA ameuawa na watu waliokuwa wanalipiza kisasi. Jambo la kushangaza ni kwamba, Matei hajawakamata walipiza kisasi hao.

1.8 Mwaka wa 2017 ulishuhudia mambo ya kutisha sana. Miili ya wanaume ilikuwa inaopolewa majini na kwenye fukwe za bahari na kwenye mito. Miili hiyo ama ilikuwa kwenye mifuko ya sandarusi, au imefungwa kamba, au ina majeraha makubwa au imefungwa mawe n.k. Tulipodai uchunguzi wa kina na wazi juu ya miili ile, serikali ilikimbilia kutoa jibu kwamba miili hiyo ni ya wakimbizi! Bunge lilipotaka kujadili likakatazwa.

B. Utekwaji;

1.9. Ndugu waandishi wa habari, Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania kwa sasa imegeuka kuwa nchi ya watekaji. Ndugu. Ben Saanane aliondoka nyumbani kwake Tarehe 18 Novemba 2016 asubuhi, hadi sasa hajulikani alipo. Tarehe 21 Novemba 2017, Mwandishi wa Habari wa gazeti la Mwananchi, Ndugu Azory Gwanda alitekwa mchana kweupe, na hadi leo hajulikani alipo.

C. Majaribio ya kuua wanasiasa
Tukio kubwa kabisa la shambulizi baya katika miongo ya hivi karibuni ni lile lilimmkuta mwenzetu Tundu Lissu [MB]. Lissu alishambuliwa kwa risasi takribani 38 na zaidi ya risasi 10 zikampata na kumdhuru vibaya. Hadi tuzungumzavyo, waliojaribu kumuua Lissu kikatili, hawajakamatwa na hakuna uchunguzi unaoendelea.

2. MASHAMBULIZI DHIDI DEMOKRASIA
Ndugu waandishi wa habari. Tangu Uongozi wa awamu ya tano uingie madarakani, kumekuwa na jitihada kubwa za kuua demokrasia na mfumo wa vyama vingi hapa nchini, na bila kupepesa macho, juhudi hizo zinafanywa na yeye mwenyewe, Rais wetu mpendwa:

A. Kuua demokrasia, vyama vya upinzani na taasisi za kiraia na vyombo vya habari;

2.1. Rais Magufuli na serikali yake kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa ajili ya kuvidhibiti vyama vya upinzani kinyume na ibara ya 20 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (haki za kujumuika, kukutana na kuchanganyika) pamoja na Sheria ya Vyama vya Siasa.

2.2. Kukithiri kwa matukio ya kuwabambikizia kesi viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani na kuwanyima dhamana.

2.3. Kuwafilisi baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kama mkakati wa kuwadhofisha.

2.4. Udhibiti wa vyombo vya habari.

B. Kuwadhibiti viongozi wa dini kwa kutumia taasisi za serikali;

2.4. Mwezi Disemba 2017, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Ngara, Mhashamu Severin Niwemugizi alihojiwa na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Tanzania akituhumiwa kwamba yeye si raia wa Tanzania, siku chache baada ya yeye kutoa maoni yake akiionya na kukosoa mwenendo wa serikali ya Rais Magufuli.

2.5. Mwezi Disemba 2017, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza kuwa ingelimfanyia uchunguzi mkubwa sana kiongozi wa Kanisa la Gospel Bible Fellowship Church (GBFC), Askofu Zacharia Kakobe kwa sababu za ajabu kabisa.

C. Ununuzi wa madiwani na wabunge:
2.6 Hadi sasa chama chetu kinakadiria kwamba huenda Tume ya Taifa ya uchaguzi imekwishatumia zaidi ya Shilingi Bilioni 10 ili kufanikisha chaguzi mpya kwenye kata na majimbo ambayo madiwani wameondoka na kujiunga CCM. Taifa linaingia hasara kubwa kwa sababu CCM wameamua fedha za walipa kodi zikatekeleza masuala ya kijinga tu.

Vitendo vya CCM kununua madiwani na wabunge wa upinzani ni kielelezo tosha kwamba CCM HAIKUBALIKI, HAICHAGULIKI NA INASHIRIKI VITENDO VYA UFISADI NA RUSHWA KUBWA KABISA YA KIMFUMO [SYSTEMIC GRAND CORRUPTION], ufisadi wa kununua watu kwa fedha ni mbaya mno, ni sawa na biashara ya kuuza na kununua watumwa.

D. Hujuma za jeshi la polisi dhidi ya taaasisi, mali za watu na maisha yao;

2.7 Uvamizi wa makao makuu ya The Civic United Front (CUF) – Chama Cha Wananchi;

Tarehe 18 Februari 2018, Askari wa Jeshi la Polisi Zanzibar, walivamia na kuiweka chini ya Ulinzi, Makao Makuu ya Chama cha Wananchi CUF yaliyoko Mtendeni, Unguja. Baadaye walifunguliwa ofisi hiyo na kufanya upekuzi kwa madai kuwa wanatafuta silaha aina ya SMG na vifaa vya miripuko ambavyo waliambiwa vimefichwa ofisini hapo. Kupekuliwa kwa Makao Makuu ya chama chetu kwa kuhusishwa kuficha silaha hatari si kitendo cha kawaida. Ni kitendo cha hujuma na chama chetu kinakichukulia kwa uzito wa hali ya juu.

Tuna taarifa za uhakika mbili kuhusu uvamizi ule; Kwanza ulikuwa na lengo la kupandikiza vilipuzi na silaha kwenye Makao Makuu yetu na kisha viongozi wetu wabambikiziwe kesi mbaya.

Pili ulikuwa na lengo la kukagua ndani na nje na kuweka mkakati wa kiulinzi ambao baadaye unaweza kutumiwa na Bwana Yule akisaidiwa na vikosi vya SMZ kuvamia na kukalia Makao Makuu ya chama kama ambavyo Bwana Yule alisaidiwa na Polisi na Usalama wa Taifa hapa Dar es Salaam na kuikalia Ofisi Kuu ya chama Buguruni.

Tunatambua pia kwamba Tarehe 02 Februari 2018, Msajili wa Vyama vya siasa, Jaji Mutungi, alikiuka agizo la Mahakama Kuu ya Tanzania kwa kumuwekea Bwana Yule na genge lake kiasi cha Shilingi Milioni 139 ambapo sehemu ya pesa hizo zilipelekwa Zanzibar ili kusimamia mkakati wa hujuma nilizozitaja hapo juu.

Tunalionya jeshi la Polisi, likome kushiriki kwenye hujuma hizo. Vitendo vya kuvamia ofisi za vyama vya siasa si tu kwamba vinahatarisha usalama wa wanachama na viongozi wao, lakini pia vinalengo la kuweka madoa kwa vyama ambavyo vinaheshimika na kuaminika kama CUF.

3.  MIHIMILI YA DOLA  KUWEKWA MFUKONI MWA SERIKALI.
3.1 Katika uongozi wa awamu ya tano, mhimili mmoja (serikali), umejipa mamlaka makubwa kiasi cha kuidhibiti mihimili mingine. Mfano, serikali ya sasa inapanga mipango mingi na inatumia fedha nyingi za Taifa letu kwenye miradi mbalimbali bila kulihusisha Bunge. Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato wa takribani bilioni 40. Dhana ya Bunge kuisimamia serikali imekufa, hivi sasa tunalo Bunge linalosimamiwa na serikali.

3.2 Kwa upande mwingine, mahakama yetu imelemewa na nguvu za serikali na inapoteza ule ukuu na uhuru wake. Mhimili wa mahakama unakemewa na mkuu wa serikali mithili ya mtoto akemewavyo na mama yake. Majaji wanaonywa hadharani na mkuu wa nchi, wanasakamwa na kutishwa hadharani. Tuna mifano mingi kabisa juu ya hili. Taifa letu haliwezi kuendelea kuvumilia hali hii.

3.3. Kidemokrasia, upo mhimili mwingine muhimu kwenye nchi, japo haujaandikwa kwenye katiba za nchi zote duniani. Mhimili huu ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Tunayo mifano ya nchi nyingi mno ambazo zilitumbukia kwenye machafuko na umwagaji damu kwa sababu tu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa umuhimu wake, NEC ya Tanzania na ZEC ya Zanzibar ni taasisi muhimu sana – pamoja na kuwa miaka yote taasisi hizi hazijawahi kuwa huru, lakini katika utawala wa awamu ya tano zimenyang’anywa kila kilichokuwa kimebaki.

3.4. Kuongoza hujuma na uporaji wa haki za wananchi kwenye masanduku ya kura.

NEC imeshikana na dola na vyombo na watendaji wa dola ili kuhakikisha kuwa CCM inashinda kwa njia yoypote ile. Hivi sasa tunashuhudia kuwa sharti la kuwa msimizi wa Uchaguzi wa Kata au Jimbo ni lazima uwe kada wa CCM kindakindaki. Ndiyo maana mawakala wa vyama vya upinzani wanabebwa mzobe mzobe na kutolewa vituoni, masanduku ya kura yanachukuliwa vituoni mbele ya wasimamizi na polisi na baadaye yanarejeshwa yamejaa kura na mawakala wakiyakataa masanduku hayo wanatolewa vituoni kwa nguvu ya dola. Njia hizo zikishindwa mawakala wanawalazimishwa kusaini matokeo feki, mawakala wakikataa wanatolewa vituoni kwa nguvu na msimamizi anabandika matokeo yake aliyoelekezwa. TANZANIA IMEPOTEZA UWEZO WA KUFANYA UCHAGUZI ULIO HURU NA WA HAKI!

4. HALI YA UCHUMI WA NCHI;

4.1. Tafsiri rahisi ya uchumi imara ni uwezo wa wananchi kupata kupata fedha halali za kutosha na kufanya matumizi yao ya msingi bila tatizo. Tafsiri hii ina maana uchumi imara umo mfukoni mwa wananchi, siyo serikalini. Watanzania kwa sasa wana hali mbaya mno na hawana fedha mifukoni mwao.

4.2 Taarifa za wazi za namna serikali inavyosaka mikopo mpaka ile yenye riba za juu na za hatari, ni dalili ya wazi kuwa tuna hali mbaya. Mfumuko wa bei za bidhaa na hasa bidhaa za chakula ni kiashiria tosha kwamba tunaanguka kiuchumi. Kudorora na ama kushuka kwa uwezo wa mabenki na taasisi za kifedha kutoa mikopo kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ni dalili kuwa tunaanguka kiuchumi.

4.3 Chama chetu cha CUF kinajua kwamba Tanzania imeendelea kuwa na uchumi unaokua huko IMF, Benki ya Dunia, ADB, kwa wanasiasa wa CCM, Ikulu n.k. Tunatambua kuwa uchumi wa Tanzania unakua midomoni na unaelekea kuanguka vibaya na au kufa kabisa katika hali halisi.

5. KUVUNJWA KWA HAKI NA KUKITHIRI KWA VITENDO VYA UPENDELEO
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais wetu John Pombe Magufuli, inaongoza Taifa kwa kuwa na ‘Double Standard’, Kujuana na upendeleo wa hali ya juu. Siku Dk. Magufuli atakapomaliza awamu yake ya uongozi, wapo watu wengi watakiri kuwa awamu yake ilikithiri vitendo hivyo. Mifano halisi michache:
5.1 Bomoa bomoa ya Kimara vs Bomoa bomoa ya Mwanza;
Pamoja na kuwa na umiliki halali (hati) na zuio la mahakama likitaka nyumba zao zisibomolewe, serikali ilizibomoa kwa nguvu nyumba za wananchi wa Kimara waliotuhumiwa kujenga kwenye hifadhi ya barabara. Huko Mwanza jana, Rais JPM amebatilisha mpango wa Waziri Lukuvi wa "uliokuwa unafuata sheria" wa kubomoa nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi ya Uwanja wa Ndege, huku wahusika wakiwa hawana umiliki halali (hati).
5.2 Babu Seya vs Masheikh wa Uamsho
Rais JPM alitoa msamaha kwa wafungwa wa muda mrefu ambao ni Babu Seya na mwanaye, ambao mimi ni mshabiki wao. Pamoja na kwamba wanamuziki hawa wanaishi na hatia ya ubakaji, Rais aliwapa msamaha wa vifungo vyao – lakini kuna masheikh wa Taasisi ya uamsho ya Zanzibar ambao wako gerezani kwa miaka 5 sasa, na kesi yao haisikilizwi, wanateswa kimakusudi na dola. Tumeweza kuwasamehe “wenye hatia ya ubakaji” lakini tunaendelea kuwashikilia na kuwatesa mashehe “wenye tuhuma” tu, tena kinyume na sheria. Uongozi wa Double Standard!

HITIMISHO
1. THE CIVIC UNITED FRONT [CUF-CHAMA CHA WANANCHI] kinatoa wito kwa wananchi wote kuendelea kuikumbusha serikali, kuikosoa, kuishauri, kuionya na kuinasihi. Tunawataka Maaskofu wenye nia njema na taifa letu, Mashehe, Wachungaji, Wanaharakati, Taasisi za ndani na nje ya nchi, Wawakilishi na Mabalozi waendelee kukemea hali hii na kupiga kelele, kelele zipigwe mchana, usiku na asubuhi.  Chama chetu kitaungana na taasisi zote za ndani ya nchi kuanzisha mjadala na Mazungumzo Kitaifa na kuirudisha serikali yetu kwenye mstari.

2. Chama chetu kinawaasa wananchi kuondoa kasumba na mazoea ya kudhani kuwa wenye jukumu la kuirekebisha serikali ni wanasiasa peke yao. Tunataka wananchi watambue kuwa jukumu lao kubwa kuliko yote ni kulinda haki zao za msingi na kuhakikisha maslahi yao hayachezewi. Tunawataka watanzania wote waungane nasi ili kwa pamoja tupiganie uhuru wa pili wa Taifa letu ambao ni ulinzi wa Katiba yetu ya sasa, ulinzi wa mfumowa demokrasia na upatikanaji wa Katiba Mpya ya Wananchi.

3. Chama chetu kimejiridhisha kwamba vyombo vyetu vya DOLA NA HASA POLISI NA USALAMA WA TAIFA, vimekuwa mstari wa mbele kuvunja haki za wananchi, kuwaonea, kuwatweza, kuwatisha, kuwadhalilisha,  kuwaumiza, kuwaua, kuwabambikizia kesi na kuwafanyia wananchi kila hujuma vikiwa na lengo la kuilinda CCM. Taasisi hizi zote ikiwemo idara ya uhamiaji, zinahitaji mabadiliko makubwa yatakayozilazimisha zitumikie matakwa ya Taifa letu na kuweka kando matakwa ya Chama kimoja. CUF itakuwa mstari wa mbele kupigania mabadiliko hayo na ni jukumu la wananchi wote kudai REFORMS kwenye vyombo hivyo.

4. Leo tunaitangaza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kama majanga ya kitaifa naadui mwingine wa taifa kwenye ile orodha ya Mwalimu Nyerere.  Taasisi hizi zikiachwa ziendelee na hujuma zake dhidi ya matakwa ya kidemokrasia ya wananchi, tutaipoteza nchi yetu. Watanzania wanajua kwamba tuna tume ambazo zimejigeuza kuwa matawi ya CCM, tume hizo zitaitumbukiza nchi kwenye machafuko. Hatutaki kuona nchi yetu ikiharibika kwa ajili ya taasisi hizi mbili. Tunaendelea na mazungumzo na wadau mbalimbali ili kuweka mkazo na mibinyo itakayowezesha kuwe na mabadiliko makubwa ya dharura na tunaahidi kwamba tutayadai mabadiliko hayo kwa nguvu zetu zote.

5. Kwa sababu ni wazi kwamba  vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeshindwa (kwa makusudi au kwa bahati mbaya au kwa kutokuwa na uwezo) kuchunguza matukio mabaya ya kikatili ambayo yamelikumba taifa letu yakihusisha mauaji ya kinyama, mashambulizi ya kimwili na utekaji – tunaitaka serikali iruhusu uchunguzi huru kutoka nje ya Tanzania, ili kutoa majibu ya matukio hayo. Au la, kama serikali haiwezi kuchunguza matukio hayo na haiwezi kuruhusu wachunguzi huru kutoka nje, basi serikali ijitangaze kwamba inahusika na matukio hayo. Tunawataka watanzania kuungana kwa pamoja kupinga mauaji haya na kutaka uwajibikaji wa haraka – kama serikali haitatoa majibu ya mauaji na matukio haya tutaendelea kuwaunganisha wananchi ili baadaye tutumie njia za kikatiba za kudai wajibikaji wa lazima.

6. Tunamtaka Jaji Mkuu wa Tanzania na Spika wa Bunge la Tanzania watafakari ikiwa ni jambo salama mamlaka na mihimili waliyokabidhiwa tena wakiwa na kinga, kuendelea kuingiliwa na kuhujumiwa na dola. Jaji Mkuu na Spika wa Bunge watambue kuwa wajibu wao ni mkubwa mno kikatiba na kwamba wasipoulinda wajibu huo wanatengeneza upenyo mbaya siku za mbele ambapo serikali itaendelea kupokonya na kupoka uhuru, haki, ukuu na majukumu ya kikatiba ya Bunge na mahakama. Wakuu wa vyombo hivi viwili watambue kwamba kuiacha mihimili hii imezwe na dola ni kuua misingi ya haki katika taifa letu.

7. Serikali ikubaliane na hali halisi kwamba uchumi wa taifa letu unaangamia kwa vitendo na unakua kwa maneno – serikali ikubali kurudi kwenye misingi ya ukuaji wa uchumi kwa kuwekeza kwenye kilimo, ajira, mikopo, biashara ndogo ndogo n.k. Moja kati ya kaulimbiu za kichumi za CUF ni kukomesha kabisa tabia ya siasa kuongoza uchumi. Ili tutoke hapa tulipo ni lazima wanasiasa waache kuongoza uchumi, Rais wetu awasikilize wachumi kuliko wanasiasa. Tutengeneze mipango ya uhakika ya kufufua ajira kwa vijana wetu, kupambana na umasikini wa kipato na kujenga uwezo wa watu wetu kumudu bei za bidhaa zinazotokana na chakula. Ikiwa serikali itaendelea na wimbo wa uchumi unakua huku hali ni mbaya, kwa hakika tutakuwa tunafanya mchezo wa kutunza bomu mfukoni.

8. Mwalimu Nyerere aliongoza taifa hili kwa miaka 25, hadi anamaliza muda wake Mwalimu alikuwa mtu mwenye misimamo na maadili makubwa. Lile ambalo Mwalimu alimtendea mwananchi wa Butiama ndilo hilo ambalo angelimtendea mwananchi wa Morogoro. Tunaitaka serikali na Rais wetu, watafakari sana juu ya maamuzi tofauti ambayo wanayafanya kuhusu jambo moja kwenye maeneo tofauti. Serikali itambue kuwa upendeleo ni dhuluma kubwa mno, hujenga chuki, visasi na manung’uniko na huwafanya wananchi waanza kugawanyika. Tukomeshe migawanyiko inayotokana na serikali kupendelea sehemu fulani.

9. Taifa letu linao wazee, linao waasisi, linao viongozi wastaafu. Kwa sababu mambo hayako sawa kwenye nchi yetu, wazee wetu Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Warioba, Butiku na wengine wote, simameni na mwambieni JPM arudi kwenye mstari. Hakuna mtanzania ambaye angelipenda kupoteza muda wake kumkosoa rais na serikali yake, lakini watanzania wanawajibika kufanya hivyo kwa sababu maamuzi ya rais na utendaji wa serikali yake vina athari za moja kwa moja kwa maisha ya kizazi chetu na kijacho. Wazee hawa wakumbuke kuwa tulikabidhiwa dunia hii ili nasi tukabidhi dunia bora zaidi ya hii kwa kizazi cha mbele.

Julius Mtatiro,
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi.
Jumatatu, 26 Januari 2018.

Thursday, 22 February 2018

Mjue Kabudi,Waziri wa,Sheria wa Tanganyika.

Hii ni sehemu ya kwanza kati ya sehemu tatu za Makala ya Mwanasheria mbobezi, Mhe Othman Masoud. Ipitie upate kuongeza ufahamu, usome hoja na mtiririko wake, historia na ukweli wake na zaidi uaminifu wake kwa dhamana ya kuilinda na kuisimamia katiba ya Zanzibar kwa vitendo. Naiweka hii sehemu ya kwanza na nitakuwekea pia #Bite_Size kubeba mazito ili iwe rahisi zaidi kuyafahamu. Usikose kuendelea na mtiririko wa pili kwa ufasaha kutoka #ZanzibarDaima iliopata fursa adhim hii ya Gwiji wa utu na Mzalendo wa ithabati.

#Na_Othman_Masoud

#KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anapotafuta anachokitaka, hachelei kuingia katika nyumba ya mtu na hata chumbani.  Pamoja na udogo wake, lakini komba anapokabiliwa na tishio kutoka kwa binadamu, atachukua miguu yake ya mbele na kuiweka kichwani, kisha atatembea kwa miguu miwili ya nyuma akiwa wima; na hapo, kwa asiye mweledi wa kumjua komba anaweza kukimbia akidhani amekutana na jinni au kiumbe wa ajabu. Naam, baba wa miraba minne anaweza kukimbizwa na komba huku akipiga kelele, pengine na suruali ikiwa ameshaiharibu.

#PAMOJA na ujanja, mbinu na ujasiri lakini kitu kimoja kimemsaliti. Uchu wake wa kupenda ndizi mbivu. Komba kwa ndizi mbivu ndio maafa na mauti yake.  Binadamu baada ya kujua udhaifu huu wa komba hawapati shida. Ndizi mbivu huwekwa katika mtego wa komba na baadaye huachiwa yeye mwenyewe popote alipo aufuate na kujiangamiza mwenyewe.  Mtego wa komba ni kipakacha chembamba sana kinachotengenezwa kwa kuti la mnazi.

Chembamba kiasi kwamba hata yeye komba huingia kwa shida. Ndizi mbivu huwekwa mwisho kabisa wa kipakacha. Mlango wa kuingilia wa kipakacha huzungushwa kitanzi cha uzi madhubuti usiokatika na baadaye uzi huo hutumika kuifunga ndizi iliyoingizwa ndani ya mtego wa komba.

Nadhani kwa tabia yake, komba anapofika katika mtego, roho humtua akajua binadamu, kama kawaida yake mweledi wa kuficha, kaficha ndizi yake akijua komba haipati. Basi hapo, komba huyu hupenyeza kichwa taratibu akivuta kidogo ndizi akaanza kula. Kila ikipungua, anaivuta zaidi na zaidi na zaidi mpaka tumbo limejaa, mlo wa siku umetimia. Shida inaanza anapotaka kutoka katika kipakacha kile kwenda na safari zake. Anajikuta amekwama. Kuna kitu kimemnasa shingoni. Mwanzo anadhani ni nyuzi tu za kipakacha, lakini baadaye anaanza kutanabahi kuwa ni kitu kibaya zaidi; ni kitanzi na kimeshakaa shingoni kinaanza kumbana.

Kinachomponza komba ni ukosefu wa nadhari. Badala ya kutulia angalau akabaki hai, anaanza kujinasua kwa pupa. Kila akijivuta, kila akitumia nguvu na kitanzi kinabana. Tahamaki roho imetoka.

Asubuhi, wale waliomtega wanapoenda kuangalia, hujisifu: “Aaah wa jana bwana…komba na ujanja wake, bwana ukimtaka, ndizi mbivu tu umemshika!“ Hawajali kama iliyotoka ni roho, tena wameitoa kwa sababu ya ndizi moja tu. Wanafurahi, wanasherehekea na wanajiandaa kutega komba mwengine…

Bila ya shaka, maafa ya Zanzibar hayafanani kwa asilimia mia moja na komba na mtego wa ndizi moja. Lakini kwa fikra zangu, ipo elimu kubwa katika hili la mtego wa komba kwa Zanzibar, kwa Wazanzibari na hata kwa watawala wa Zanzibar wa sasa hivi, Tanganyika alias Tanzania.

#Mjadala na Wasifu wa Profesa Kabudi

Nimefuatilia mjadala juu ya kauli ya Mwalimu wangu, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyoitoa Bungeni akiwa Waziri wa Sheria wa Serikali ya Tanzania. Miongoni mwa yanayolalamikiwa sana ni kauli yake juu ya hadhi ya Rais wa Zanzibar, hadhi ya Katiba ya Zanzibar na pia hadhi na mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Yamesemwa mengi, yamesemwa na wengi, si madhumuni yangu kuanza kuyarejea.

Wakati nasikiliza zile vidio za maelezo ya baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar pamoja na baadhi ya mawaziri walizozitoa katika Baraza la Wawakilishi kumjibu na hata kumlaani Profesa Kabudi, adhana ya laasir ikasomwa. Adhana ilinitanabahisha mambo mawili. Kwanza, kwamba wakati wa sala umefika. Lakini la pili ni ile busara iliyomo ndani ya adhana. Pamoja na kwamba sala ni amri ya Allah kwa waumini wa Kiislamu, lakini pia ni nguzo ya dini ya Kiislamu. Hata hivyo, waumini wanakumbushwa kila inapofika wakati wa sala. Falsafa ya kukumbusha ndiyo iliyonipelekea kuandika makala hii fupi.

#Kwanza, napenda kutanabahisha wasifu wa Profesa Kabudi. Kwa kadri ninavyomuelewa ni mtu anayeufahamu vya kutosha mfumo wa sheria na katiba wa Zanzibar, historia yake na maendeleo yake. Anajua vionjo na viroja vya siasa za Zanzibar. Anajua hisia na mtazamo wa umma wa Zanzibar. Lakini anajua pia udhaifu wa waliopo katika nyadhifa mbalimbali Zanzibar kama anavyoujua umakini na umahiri wa baadhi ya watu wa Zanzibar. Ana faida ya kuijua Zanzibar tokea kwa babu zake. Hata jina lake la #Palamagamba amelipata #Pemba ambako babu yake aliwahi kufanya kazi ya fundi uashi.

Wengi wasiomjua Profesa Kabudi, wanadhani ni mwalimu tu wa Sheria wa Chuo Kikuu ambaye hatimaye ameteuliwa kuwa Waziri. Wanaomjua wanakumbuka kwamba wakati wa vita vya Kagera alikuwa Mwandishi Msaidizi wa Mwalimu Julius Nyerere, kazi yake ikiwa ni kushughulikia utaalamu wa kuandika taarifa za vita. Ni katika waliomshauri Mwalimu Nyerere kuwa taarifa zote za vita ziandikwe katika gazeti la Kiswahili la Serikali na waliobaki wanukuu kutoka katika gazeti hilo.

#Weledi wa propaganda za vita na diplomasia wanajua kwamba hiyo sio mbinu ya kitoto bali ni ya weledi wa hali ya juu na inaonesha upeo wa waliotoa uamuzi huo.

Jengine ambalo binafsi nalifahamu kwa Profesa Kabudi ni kwamba msimamo wake binafsi ni kuwa Zanzibar inastahiki kukaliwa na Tanganyika [occupied] kwa maslahi mapana anayoyaita ya kimkakati. Bila ya shaka hiyo ni kasumba ya wengi wasioungalia Muungano kiuchumi na mwenendo wa sasa wa kidunia. Huo ni mtazamo sio wake peke yake, bali wa makada wengi waliopita katika darsa ya MWALIMU yule aliyekuwa akitumia mtaala wa miaka ya 60.

Mbali ya sifa za kitaaluma na kiutumishi, lakini hata kwa upande wa dini amepata fursa ya kulitumikia Kanisa la #Anglikana katika nafasi nyeti ya Katibu akiwa na jukumu moja muhimu nalo ni la kuchunga taratibu za kiutawala na uongozi.  Kwa ufupi amekuwa mchungaji wa Katiba, sheria na taratibu za Kanisa hilo.

Uzoefu katika nafasi zote hizo ukichanganya na sifa yake kubwa nyengine ya kuwa mtu mwenye kumbukumbu ya kusifika [photographic memory] haziendani na kile kinachodhaniwa kuwa amesahau alichokisema miaka mitatu tu iliyopita.

Kwa wenye tafakuri na wakawa wanamjua vyema Profesa Kabudi watatanabahi tu kwamba yupo katika mchezo wa kuaminisha lile liliomo katika ajenda ya Tanganyika ambayo baadhi ya viongozi walioiingiza Zanzibar katika mtego wa komba wanajifanya hawaijui.  Wanaotaka tuamini kwamba siasa za Muungano ni siasa za itikadi za vyama na sio siasa za kimkakati wa mtawala na mtawaliwa.

Ni rahisi kuchakata kauli za Profesa Kabudi kuonesha kwamba uwaziri umemfanya kuwa mnafiki na mwenye kigeugeu.  Nadhani ni busara kuangalia kwamba huyu ni mtu ambaye amekuwa katika “establishment” katika takriban uhai wake wote wa kikazi na kitaaluma.  Kubwa zaidi ni kuangalia hatima ya ugeugeu wake au “unafiki” wake. Yote mawili yana faida kubwa kwa mwajiri wake na yanakoleza ajenda tuliyotangulia kuieleza ya mtawala na mtawaliwa.

Katika falsafa ya vita hakuna kigeugeu bali kuna kujipanga upya. Kama kugeuka kauli au mbinu yako ni njia ya kushinda vita itakuwaje kigeugeu hicho kiwe na ila??? Binafsi yangu sioni kama katika aliyoyasema Profesa Kabudi lipo jambo jipya ambalo viongozi wetu hawalifahamu kwamba hiyo ndio dhana ya Muungano waliyonayo wengi wa viongozi wa umma wa Tanganyika.

Friday, 2 February 2018

The best thing George Weah can do with his new powers is give some away

Credit: George Weah.
Although it was closely fought, the election of George Weah last month signalled Liberia’s widely-shared desire for change. After 12 years under the previous administration of Ellen Johnson-Sirleaf, the country can boast a positive environment for civil society, freedoms of press and expression, and a growing democratic culture. But at the same time, its faltering economy continues to fail the majority of citizens – particularly the youth, who make up nearly two thirds of the population.
Across his six-year term, the newly-inaugurated President Weah must now find a way to allow Liberia’s democratic culture to continue flourishing while also tackling the economy. This will be easier said than done. Tweaking around the edges won’t be enough. Confronting these challenges may require a radical paradigm shift in the very structure of government and in the allocation of authority in Liberia.
In fact, the best way for President Weah to exercise the power he just won may be to immediately give some of it away.

Wednesday, 10 January 2018

East Africa dark days.

Age limit abolished.

FINALLY ANOTHER CYCLE  OF DECEPTION IS OVER - WHAT NEXT?*

By Hussein Kiyanjo.

Ugandans have just witnessed another example of elite craft against the people's  will.

We have seen all main participants at different stages playing their role. We saw the decoy of a private member and his group.  Then we saw the major party and consequently their chairman plus cabinet. We also watched the army, police and other security organs desecrate Parliament.

Keen observers saw both the Ministry of Finance and the Bank of Uganda do their part availling un budgeted cash to proponents of the bill. We followed the minority parliamentarians on both sides sustaining a powerful campaign till the end at exactly 11pm on the historic night of 20th December 2017.

Besides this recent episode,  there have been tireless efforts by religious and civil societies as well as The Elders Forum to find a durable solution to the country's succesion question.

Before then over the years  there has been a long list of  candidates who also tried to follow the rightful procedures of the law to cause political change  but all in vain. I can remember,  in no particular  order -Dr Semogerere. Mr. Muhammad  Kibirige Mayanja. Mr Francis Bwengye. Hon Aggrey Awori. Haj Sebaggala. Col. Kiiza Besigye. Hon Sebaana Kizito,  Hon. Norbert  Mao. Hon. Beti Kamya Mr. Lubega Mukaaku. Mr. Olara Otunu. Mrs Miria Obote. Hon. Bidandi Ssali. Prof. Baryamureeba. Hon. Amama Mbabazi. Dr Kyalya. Gen Biraro. Pastor Abed Bwanika and Mr. Elton Joseph Mabirizi.

All the above meant well save for changing positions of some as of now. There are some on the list who were thought to be weak, ridiculed  and considered lacking in 'substance' only to discover at the end that even those perceived to be powerful ended up with the same net result as their earlier colleagues.

When I was a Member of the 8th and 9th Parliament some of us resisted the creation of Districts and constituencies hence the ever swelling numbers of the legislature but we were over powered at all occassions. Some members on my side were tricked to support the idea. Now you all know what the intention was.

There have been critics of hardline members of parliament who were called all sorts of names and were blamed for using their fists rather than their debating skills.

My position was and still is that these were more relevant and somehow propotionate to the treacherous  tricks of the dictator than some of us who were thought to be smarter at debate.  I argue even now that you can't  fault Hon Niwagaba,  Hon Sekikubo,  Hon Seggona,  Hon Ogenga Latigo,  Hon Regan Okumu, Hon Winnie Kiiza,  Hon Abdu Katuntu,  Hon Mathias Mpuuga (a typical sample) for being violent and lacking in debate. But where  is the profit of their sober effort?

They have cited laws and rules, they have attempted court processes but the hard liners scored higher in the end. I dont have words suitable anough to thank them and more so those from NRM who braved the intimidation and tesisted the bribes. You are great!!!

During this last hot debate on the ammendment of the constitution you must have heard voices of seccesion from the North, the East and the Central.  It was only the West which was understandebly silent on this issue.

You wonder how quick time flies; when I raised a similar voice 8 years ago many simply rubbished my cry; reality has vindicated me.

In short,  we are faced with a dictator who employs elite conspiracy using both good English and twisted law,  mixed with military dominance and financial bribes to subdue the majority voices.

It is time to concede that conventional methods have failed and to start listening carefully to voices of other means from people we may erroneously  consider irrelevant.  These are the general public who have been cheated and variously robbed  through a scheme of tricks. They are definitely  going to react and I doubt whether they will be advised on how where and when because they have lost trust in elite leadership and only look at us as hypocritical  self seekers.

They will not listen to any voice whatever reasonable because they have seen our glaring failure in the face of a military man attempting to create family rule using their resources. Any one who thinks am wrong can continue to try their luck.

Look at what mainly transpired. The presidential age limit was scrapped, the term limits reinstated and the parliamentary term was expanded to seven years. If all goes according to plan the presidential term will also be expanded accordingly after a referendum. These have never been the desired positions of the masses but were arrived at by self seeking legislaters duped by a greedy leader.

The argument that 5 years arent enough time is lame because even 7 is equally short. I would have been persuaded if they had proposed 35,  because even after 32 years the president  is not yet done and seems to be just begining work.

He has started with the constitutional amendment  as was the case in 1995. He has to re-establish cooperatives. He wants to start on the railway system.  He also in high gear to fly a flag carrier (the same Uganda Airlines he destroyed). He has just embarked on distributing coffee and fruit seedlings.  Recently he commissioned sign posts which indicate the construction of an oil pipeline...  so the list is long.  All are new projects which can not be completed in 14 years. After 14 what guarantee does any one have that the sitting parliament will not craft new reasons to lift the terms again?

Bellow is a conservative sequence of events as they are likely to unfold. Am just thinking allowed you can create your own check list but one fact is that things will never be the same again.

To begin with some of the legislators who have secured the seven years will not live to benefit from them as death will continue to  take its toll. This is not to say that some us will not face the same fate.

We are going to see MPs  facing increased financial demands from voters who have discovered that their purported  representatives actually work for money (selfishly) than the people.

Very soon there is going to be a cabinet reshuffle  to reward the new turks as well as offload the misplaced "parasites" currently occupying positions.

Those who will live hopefully to the next general ellection are going to experience unprecedented in fighting during party primaries for the presidential flag bearer Ugandans may see Gen Moses Ali, Haji Kirunda, Hon Kajura Hon Sekandi, Hon Sam Kutesa among the candidates.

On the other hand we may also be suprised by Hon Kibuule Hon Balyeku Hon Anite also puting up bids for the big office but i bet all will be intimidated into solence or just heftly bought out.

The parliamentary flag bearers are going to fight even more with majority ending up joining other parties or running as indipendents and for the first time we are likely to see drastically reduced numbers of NRM in the 11th parliament if they are not outrightly defeated.

The regime is going to increase and tighten security around themselves and their cronies. The dictator will act more ruthlesly on suspected opponents and brutally on outright ones.

We are going to see more militia training  sessions and so called crime preventers all over Uganda(chaka mchaka).

We shall also witness enhanced curbs on  civil liberties as well as increased curtailment of press freedom save the current Mutabazi crusade.

There is likely to be many Ugandans running into exile in three main categories;  political for fear of repression professional for frustration of poor pay and economic for lack of employment.

The education system is going to deteriorate further,  as the  health services are substituted by traditional healers and unqualified jua kali medical personnel.

We are definitely  going to witness accelerated  corruption, nepotism and tribalism in public institutions as the unpopular leader will opt to sorround himself with his own trusted tribesmen while at the same time he won't  have the moral authority to fight these vices.

As a result,  we must face an inevitable closure of both local and foreign investiments because of dwindling profits.  Next will be unbearable inflation and the net effect of this will be a collapsing  economy.

Crime is going to be on the rise and with the failure of the traditional police the justice system will be rendered impotent.

Lastly we might live to see terrorism gaining currency as a result of frustration and hopelesness.

If people of faith don't  pray harder,  we shall end up with destruction  and a break down of Uganda into small tribal states controlled by young millitias in the end.

Fore warned is fore armed.

_Hon. Hussein Kyanjo is former MP Makindye West and retired Secretary General, JEEMA_