

Wazanzibari walijitokeza Kumpokea Mgombea Urais wA CCM Mheshimwia Eadward Lowassa leo huko Zanzibar

Wanachama wa CUF na Chadema wlaiomiminika LEo kumlaki
Mheshiwia Lowassa huko Zanzibar

Mheshimiwa Jussa akimkaribisha Mgombea urais wA Ukawa Mheshimiwa Edward Lowassa.


Wamasai wote ambao walikua ni kimbilio la CCM huko Zanzibar sasa upepo umegeuka .
No comments:
Post a Comment