Sunday, 2 February 2014

CCM WAFANIKIWA KULINDA NGOME YAO YA KIEMBESAMAKI


 Mshindi wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Mhe. Mahmuod Thabit Kombo, akizungumza na Waandishi wa habari na kutowa shukrani kwa wapinga kura wake na WanaCCM waliomuunga mkono katika safari ya Kampeni na kuahidi kutimiza ahadi zote alizoahidi kwa Wananchi wa Jimbola Kiembesamaki na kuondo kero zote na kuwaletea maendeleo katika jimbo lao. Matoeko  ya Uchaguzi CCM imeshinda wka kura 1856 dhidi ya watani wao CUF 445

No comments: