Saturday, 1 March 2014

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUVUTIA BAINA YA CHADEMA NA CCM

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI MKOANI IRINGA








 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge.  
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akipeana mikono na baadhi ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara katika suala zima la kuomba kura na kupata ridhaa ya wanakijiji hao kuongozwa na yeye akishinda kiti hicho cha Ubunge wa jimbo la Kalenga. 
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akiteta jambo na baadhi ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara katika suala zima la kuomba kura na kupata ridhaa ya wanakijiji hao kuongozwa na yeye akishinda kiti hicho cha Ubunge wa jimbo la Kalenga.
 Baadhi ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini,wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mapema leo jioni.
 Baadhi ya Wazee wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini,wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mapema leo jioni.

 Tendega, Heche na Kamanda Mawazo Kampeni Kalenga. Mtoto wa M'kiti wa CCM atia huzuni
 Juu na chini; Meneja wa Kampeni za mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo akiwa amembeba mtoto Zakina Miwela anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM katika kijiji cha Lumuli, anavyoonekana masikini kutona na sare zake za shule kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana. 

 Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM wa kijiji hicho, anavyoonekana bila viatu na sare zake kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana.
 Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema taifa, John Heche, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Lumuli, wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia chama hicho, Grace Tendega uliofanyika kijijini hapo jana. 
 Makamanda wakielekea kwenye kampeni jimboni Kalenga
Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo na mgombea, GraceTendega, wakizungumza na akinamama wa kijiji cha Lumuli, katika kikao maalumu baada ya mkutano wa kampeni, zilizofanyika kijijini hapo jana.
 Wanachama wa chama cha CCM na wananchi wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanywa na CCM mapema leo jioni,ambapo mgombea wa chama hicho,Godfrey Mgimwa alifika na kujinadi kuomba kura na ridhaa ya kuongoza jimbo hilo.  
 Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa,Mh.Gervas Ndaki akiwa amepiga magoti ikiashiria kutoa heshima kwa wananchi kwa ajili ya kuwaomba kura kwa ajili ya Mgombea wa CCM,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika kijiji cha Ilala Simba kata ya Nzihi mkoani humo.
 Anafaaaaaa.......akina mama wakishangilia
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akizungumza na Wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Inzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,akiomba kura na ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge. Ndugu Mgimwa alisema kuwa Wananchi Wamuamini kwani anafahamu changamoto zilizopo na majibu ya kuzitatua anayo "Nimefanya utafiti  wa kutosha hivyo najua changamoto zinazotukabili,nipeni nafasi ili niweze kuzitatua kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010" alisema Mgimwa
 Wananchi wakishangilia mara baada ya Mgombea wa CCM kuwasili katika kijiji cha Magubike,Kata ya Nzihi mapema leo jioni.
 Huyu ndiyo chaguo letuuuuu...
 Akisalimiana na akina mama wa kijiji cha Magubike
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akipokelewa kwa shangwe mapema leo jioni katika kijiji cha Magubike,kabla ya kuzungumza nao kwenye mkutano wake wa hadhara,katika safari nzima ya kuomba kura na ridhaa ya kuwaongoza kwa nafasi ya Ubunge. 
 Hapa ni ushindiiii tuuuu.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mapema leo jioni katika kijiji cha Magubike,ikiwa ni sehemu ya kumnadi mgombea wa chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa ambaye anagombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kalenga.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mapema leo jioni katika kijiji cha Magubike,katika suala zima la kumnadi mgombea wa chama hicho,Ndugu Godfrey Mgimwa ambaye anagombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Kalenga.
Baadhi akina mama wa kijijii cha Magubike wakisikiliza sera zilizokuwa zikitolewa na Mgombea Ubunge wa jimbo la Kalenga,Ndugu Godfrey Mgimwa.

No comments: