Friday 19 December 2014

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Jumatatu kulikoni inanikumbusha Pale watu enzi zile Watu walipovunja bucha za Nguruwe pale Dar Mze Ruksa aliwaita Wazee wa Dar salaam na kutoa msimamo wa serikali na kusema anaetaka kula Nguruwe ale tu sasa Mzee wa Bagamoyo sijui ana mpya gani na disease la Escrow hapo Jumatatu wakati kesi hii Wawakilish iwa Watanzania washaimaliza kule Bungeni na kutoa maazimio kinachosubiriwa na Watanzania ni uwajibikaji kwa k ulitia taifa hasara bilioni 364 na kukamatwa mali za Wahusika akiwemo Mama Tubaijuka 
Ingawa anataka kujivua Ugozi ila amekula Pesa za EScrow 1.6 Billion, ni muda muafaka wka CCM kujiweka wazi kwua chama hichi na serkali yake kwua kinabariki ufisadi huu kwa kuwafukuza Watu wote waliohusika akiwemo Waziri Mkuu Mheshimwia Pinda ni msimamizi mkuu waSerkali ya CCM na Mama Tubaijuka hana uwezo wa kvua gamba kwa hili ila wewe uvuliwe gamba la kushindwa kuonesha Leadership Ethic ni either CCM as ruling party iwajibike kwa kuwaonesha Watanzania kuwa inapinga ufisadi au iendelee kukupandia genge la Mafisadi au mtandao uliokiteka Chama cha MApinduzi na kuifilisi nchi.Siku Moja baada ya kujiuzuri kwa Mwanasheria mkuu Jaji Fredrick Werema, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwa mara nyingine amejitokeza hadharani na kutoa msimamo wake kwamba hana sababu ya kujiuzuru kwenye nafasi yake kwa kuwa hakuhusika kwa namna yeyote kwenye sakata la uchotwaji wa mabilioni kwenye akaunti ya Escrow.
Akizungumza na waandishi wa habari asubuhi jijini Dar es Salaam, Profesa Tibaijuka amesema kuwa pamoja na kuwepo kwa shinikizo la kutaka kujiuzuru, yeye binafsi ameona hana sababu ya kufanya hivyo kwani kufanya hivyo ni kukubali kuwa amehusika moja kwa moja kwenye kashfa hiyo jambo ambalo si la kweli.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, mchana wa Jumatatu, Desemba 22, 2014. Wakati wa mazungumzo yake na Wazee hao, Rais Kikwete atazungumzia masuala mbali mbali ya kitaifa, yakiwemo yale ambayo yamekuwa yanasubiri maamuzi yake tokea alipokuwa anajiuguza kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita, Novemba 2014. Undani zaidi kuhusu mkutano huo kama vile mahali utakapofanyika, saa utakapofanyika na nani wataalikwa utatolewa na mamlaka zinazohusika na maandalizi ya mkutano huo.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam. 
19 December, 2014



Is this Tubaijuka who was on Jef Koinage is realy Tubaijuka or part of corrupt ccm mafia group?

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam. 
19 December, 2014

No comments: