Tuesday, 10 March 2015

Warsha kwa Waandishi wa Habari Zanzibar Kuripoti Habari za Uchaguzi Zanzibar.Mwenyekiti wa Warsha ya Waandishi wa Habari Mhe Salma Said,  kuhusiana na kuripoti Habari za Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwishoni wa Mwaka huu, warsha hiyo imewashirikisha Waandishi wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Zanlink majestik Zanzibar.
Viongozi wa meza kuu wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Mwakilishi waJimbo la Jimbo la  Magomeni Mhe Salmin Awadh na Mbunge wa Mbinga Magharibi, Mhe John Komba waliofariki dunia hivi karibuni.  

Waandishi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka marehemu Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Salmin Awadhi na Mbunge wa Mbinga Magharibi Mhe John Komba, tayari walishafika mbele ya haki Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi Aman.

Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Jumuiya  Global Network of Religions for Children Dk Mohammed Hafidh, akifungua warsha ya Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na kuripoti habari za Uchaguzi Zanzibar iliofanyika katika jengo la Zanlik majestik Zanzibar.
Waandishi wakimsikiliza Mjumbe wa GNRC, Dk Mohammed Hafidh wakati wa ufunguzi wa warshi hiyo iliowashirikisha waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar jinsi ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu Zanzibar. 

           Mkuu wa Taaluma Chuo cha Habari Hanzibar Ndg Rashid Omar Kombo akitowa Mada    kuhusiana na Misingi Mikuu ya Uandishi wa Habari za Uchaguzi na                     Utambuzi wa Viashiria vya Uvunjifu wa Amani, akiwasilisha mada     yake kwa Waandishi wa habari waliohudhuria Warsha hiyo ya siku moja iliowashirikisha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar.

Mtoa Mada Mhe Ali Saleh akitowa Mada ya kuhusu Katiba wakati wa Warsha ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar iliofanyika katika jengo la Zanlink Majestiki Zanzibar 
No comments: