Thursday, 18 February 2016

WANAWAKE WA CUF DAR KUANDAMANA


Jumuiya ya wanawake wa chama cha wananchi CUF Taifa umetangaza kufanya maandamano February 22 mwaka huu, kuanzia makao makuu ya ofisi za chama hicho eneo la buguruni , hadi ofisi ya makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es salaam, lengo likiwa ni kuunga mkono maamuzi ya kikao cha baraza kuu la chama hicho kutoshiriki marudio ya uchaguzi Zanzibar

No comments: