Kama Hatukusema Nani Atasema Mtanzania Zinduka !
Mtanzania Zinduka.
Saturday, 10 February 2007
Mapinduzi yachoshaa!!
Wakati Malecela akihudhuria sherehe za Mapinduzi , Karume aimba Mapinduzi oyee , Mzee Sigwemisi asema bora nisinzie kidogo hakuna jipya hapa uwanjani leo.
No comments:
Post a Comment