Monday, 28 January 2013

Kwaheri Balozi Maajar na Ushauri Kwa Balozi ajae!

Kuna mengi yamesemwa juu ya Balozi wetu tunae muaga Washington Dc na Blogs Kumpamba .Pichani nimebahatika kupata moja ya picha Hamsini bora za Rais Obama na moja wapo akiwa na Balozi wetu. Labda tumpe haki yake kidogo, Miaka yangu michache Washington Dc, nimeona Mabalozi Wanne wamepita hapa na Ukweli Maajar amekuja na style yake peke yake naweza kuita ya kuwajumuisha wote kwenye kapu moja japo Wakereketwa Walimvuta kuwakataa Wasio wana CCM. Mukisema nimeanza majungu haya. Maajar Yeye hakukumbana na Rungu la Balozi Nyaki enzi za Mrema kumpokea kiongzi Mrema kama Kiongozi wa kitaifa wa Upinzani Nyaki alipoteza kibarua ! Nilidhani Ubalozi ni wa nchi sio Chama ! Balozi wa Kwanza Washington DC Kuwapa Viongozi wote wa Tanzania heshima yao bila ya kujali itikadi yao kwa kuthibitisha. Nilimsindikiza ubalozini aliekuwa kiongozi wa Upinzani katika Bunge la Tanzania Fatma Maghimbi , Balozi hata Hakushuka kumsalimia bali Bi Magimbi alipewa kitabu cha wageni kutia saini. Uongozi wa Chadema wa Mbowe ulipotembelea Washington ulipewa heshima zake na Balozi huyu, Katibu mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif alipewa Heshima na ubalozi kwa Mara ya kwanza huko nyuma kuanzia 2003 na miaka mingine alipokua Washington Hatukuona heshima za ubalozi.Nitampa japo kiduchu haki yake Balozi huyu Mwanamke Maajar. Labda kwa Mabalozi wanaofuatia niwape ushauri Balozi awe na Washauri pia katika COmmunity. Kwa nini ubalozi unashindwa kuwapa audience Viongzi wote wa Tanzania Wanapotembelea Washington DC wa Kutoka Bara na Visiwani. Tuliona alipokuja Makamo wa Pil i wa Rais na Msafara wake Waliokutana na Makamo walikuwa ni watu wachache waliochaguliwa na Ubalozi wenyewe wanajiita Celebrity wa DC. Ubalozi uondoe zile class zilizokuapo Washington miaka ya 90 kuwa huyu hafai kualikwa Kwenye party ya Ubalozi mialiko huanza na huyu katoka Manzese na huyu Upanga na Oysterbay. Watanzania wote waekwe kundi moja tusiwaweke kwenye makundi ya miaka ya 90 ya Watanzania kudharauliana leo huku nje wahamiaji wa Wamanzese na Mwananyamala wamepiga maendeleo na kusoma kuliko Waliozaliwa Upanga na Oysterbay. Nilibahatika kupata chai , Lunch na Mabalozi wawili hapa Washington .Mheshimiwa Nyanganyi alinialika Lunch, Pia nilimpa yalio moyoni mwangu kwani ilikua ni wiki ya January 27 2001 . Nilimueleza Yaliokuwa Yakitendeka Kule Pemba namna watu wanavyoishi maporini kwa kukimbia nyumba zao kwa kupigwa na polisi kwa sababu ya Kuwa tu wao ni CUF Alinijibu Bwana mimi mtu mkubwa huwezi kunidanganya Naongea na Rais kila leo Hakuna alieuliwa Pemba wala Kuishi maporini. Hadi Pale tulipowapigia Wizara ya nje ya Mareakani na kuutaka ubalozi wao ukodi ndege na kwenda kuhakikisha kuua hakuna watu waliouliwa Pemba.Ubalozi wa Marekani pale Dar kwa kushirikiana na Umoja wa ulaya walikwenda ndege mbili kujionea watu waliopigwa risasi na kunyimwa matibabu kwa vile walikua CUF. Na maelfu ya hawa waliandammana kupinga matokeo ya Urais ambayo yaliukosesha CCM ushindi Zanzibar bali Waliiba maotokeo na majimbo 16 ya Unguja mjini yaliochukuliwa na Upizani na tume kutangaza uchaguzi urudiwe majimbo hayo.Ingekua Balozi Nyanganyi angenisikiliza ushauri wangu na kwua na Busara kumpa Mbogo Mkapa wangepunguza msusrsu wa Wakimbizi waliofika Kenya ila kiburi cha Balozi kilizaa wakimbizi 600 Kule Shimoni Kenya,Balozi alimefuatia Nyanganyi alinialika Chai aliniuliza Wazanziabri muna Matatizo gani nilimjibu yaliokuwa Moyoni Kwangu, Kurenew passport Kwa Wazanziabri ni Nongwa unaulizwa masuali mengi na kusumbuliwa kama wewe uemjiripua jee Ubalozi ni Kituo cha Polsi Wazanziabri wakiogope alinijibu hili litashughulikiwa na lilionesha kushughulikiwa. ALipokua Balozi sefue hakuwa mtu wa watu bali alikua na Kundi lake ubalozi uligeuka tena Kituo cha Polisi hata Walioanzisha Diaspora walikua washakaji zake high school Friends. Kauli ya Miss Maajar, nilifarijika pale aliposema uajiri utakua fair kwenye Balozi zetu ila uajiri ulifanyika hata wa madereva kwa mlango wa Nyuma. Critical za Wazanzibari wa North America kwenye Balozi za North America. 1- Miaka 15 Uwakilisi wa Wazanzibari ni mdogo na wa kutia aibu. 2. Uajiri wa kujuana hata wa nafasi za clerical umekua wa kujuana. 3. ALipokuja Balozi Maaajr mkutano wake wa Kwanza Wazanzibari walikwenda kwa Kishindo Kumsikiliza na kusema angalieni tovuti ya ubalozi tutaajiri wat uwlaiopo hapa na kweli Waliajiriwa ila kwa mlango wa nyuma na majian yanajulikana. Wazanzibari hawana Elimu si kweli wapo wenye degree za aina Mbali mbali na wako wlaio tayari kuitumikia nchi, ila Bado sera ya equalaity ndna iya Balozi zetu imegonga mwamba. Balozi wetu anatuaga ametufanyia mema mengi tulimuona hata kwenye futari na Misiba ila kuna mengine bado kayawacha kiporo.Ila ameweza kuyafikiria mengi na kuyaaanzisha mengi yanayowagusa wanadiaspora na Wana Investment na pia kuitangaza nchi aliweka Kipaumbele hadi kuanzisha Tanznaia Day sasa Tunamsubiri Mwengine atuanzishie Zanzibar Day pia ! REsume ya Balozi Maajar. Tanzania has named a new ambassador to the United States, the first woman diplomat to represent this African nation to the US since the two countries developed bilateral relations almost fifty years ago. President Jakaya Kikwete transferred Mrs. Mwanaidi Maajar from Tanzania’s High Commission in London to Washington DC to take over from Mr. Ombeni Sefue who has been in tour of duty to the United States for about four years. Mrs. Mwanaidi Maajar becomes the first woman ambassador ever to represent Tanzania in the United States, a rare diplomatic post to be assigned to women diplomats from the African continent, where most ambassadors from this continent to North America are predominantly men diplomats. She holds a higher degree in law and has been a prominent, professional lawyer in Tanzania’s law chambers before her first appointment to represent Tanzania in United Kingdom four years ago. While in London, Mrs. Maajar was ranked a best diplomat who managed to link Tanzania, UK, and other European nations through her office. The United States is Tanzania’s major tourist market, which offers the most high-spending tourists compared to other world travel markets, also in terms of quality. About 60,000 American tourists visited Tanzania’s tourist attractions last year. An attorney by profession, Mwanaidi Sinare Maajar was chosen to be Tanzania’s ambassador to the United States in March 2010 and presented her credentials on September 7. Born January 12, 1954, and raised in Moshi, Tanzania, Maajar earned a bachelor of laws degree in 1977 and a master of laws degree in 1982, both from the University of Dar-es-Salaam. Maajar worked as senior legal advisor with the Central Bank of Tanzania (1978-1983) and then as business manager with Coopers & Lybrand (1983-1991), the predecessor firm of PricewaterhouseCoopers, in Tanzania. In 1991, she helped found the law firm MRN&M (Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani) Advocates, and was the lead partner of the firm’s mining, natural resources and corporate law portfolio. She also has practiced as an advocate of the high court of Tanzania specializing in corporate and mining law litigation. Maajar was a partner at Rex Attorneys, a leading law firm in Tanzania established in early 2006 following the merger of MRN&M and Epitome Advocates, another leading law firm in the country. Before being selected to serve as ambassador to Washington, she was Tanzania’s high commissioner to the United Kingdom from April 2006 to July 2010. The post of high commissioner between two Commonwealth countries is the equivalent of the position of ambassador. Maajar was a founding member in 1990 of the Tanzania Women Lawyers Association, a non-governmental organization established to help women and children access the justice system and to advocate for women’s rights, and served as its chair from 2001-2003. She helped establish the East Africa Law Society (EALS) in 1995, and she was chair of the Social Action Trust Fund (SATF), a joint venture of the governments of the United States and Tanzania, the profits from which were used to help organizations dealing with HIV/AIDS orphans. She also has been a member of the board of several public enterprises, government entities and private companies, including the non-profit Muslim Development Fund (MDF); the non-profit Women and Development Company Limited (WAMA); the African Banking Corporation, DAWASA, the company responsible for building infrastructure for clean water and sewerage in Dar es Salaam; and Tanga Cement Limited. Maajar speaks Kiswahili, English and French. She is married to Shariff Hassan Maajar.<

No comments: