MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za kukiuka agizo la jeshi la polisi na kuandamana.
Lipumba na wanachama wengine 32 wanatuhumiwa kufanya…
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za kukiuka agizo la jeshi la polisi na kuandamana.
Lipumba na wanachama wengine 32 wanatuhumiwa kufanya maandamano eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam, kinyume na taratibu, ambapo maandamano hayo yaliyokuwa yamepangwa na chama hicho ya kwa ajili ya kuadhimisha kukumbuka ya miaka 14 tangu kufanyika kwa mauaji na mateso ya wananchi wa Zanzibar na Bara yalifanywa na vyombo vya usalama.Mpaka GPL inaondoka mahakamani kesi hiyo ilikuwa bado inaendelea mchana huu.
(NA G
No comments:
Post a Comment