Unapozungumzia Umoja wa Upinzani Tanzania huwezi kuacha majina ya Musobi Mugeni na Bob Makani , ukisema Ukawa basi hii ndio ilikua ndio ndoto ya Waasisi hawa wa Chadema na CUF Picha ya Chini Bob Makani akiwa na Mgombea urais wa CUF mwaka 1995 Mheshimiwa Ibrahim Lipumba.
MAzishi ya aliekuwa Mwenyekit iwa Chadema Mwaka 2012 Mheshimiwa Bob Makani
Mawaziri Wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim wakiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh Zitto Kabwe msibani
Mh. George Masaju, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akikaribishwa na Mh Mabere Marando
Bendera ya CHADEMA ikipaishwa nusu mlingoti
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa meza kuu na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Mawaziri wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Mecky Sadik na viongozi wa CHADEMA
Sehemu ya waombolezaji
Watoto na ndugu wa karibu wa Marehemu Bob Makani
Familia ya marehemu
Rais wa Tanganyika Law Society akifariji familia ya marehemu baada ya kusoma risala yake
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akihani
Sehemu ya wanafamilia wa Marehemu Bob Makani
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwa meza kuu baada ya kuwasili kutoka visiwani
Sehemu ya waombolezaji
Wanahabari
MC wa shughuli Dkt Mfungo akiwa kazini
Viongozi wakitoa heshima zao
Heshima za mwisho
Heshima kwa Bob Makani
Mama Sumaye akiwa miongoni mwa waombolezaji
Juu na chini Rais Kikwete akisindikizwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe
Jaji Mkuu Mstaafu Mh Barnabas Samatta akiwasili
Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama akitoa pole zake kwa Mh Mbowe
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa
Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim wakiwasili msibani
No comments:
Post a Comment