Thursday, 4 June 2015
Baraza kuu lapitisha majina ya wagombea wa CUF upande wa Zanzibar
Mgombea uwakilishi Jimbo la Kiembe Samaki Mheshimiwa Mansour Yussuf Himid.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chama Cha Wananchi (CUF) Omar Ali Shehe akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uamuzi uliofanywa na Baraza Kuu la Chama hicho kuhusu wagombea
Chama Cha Wananchi (CUF) kimewatangaza wagombea ambao waliingia katika kinyanganyiro cha kuwania ubunge na uwakilishi baada ya kupita katika hatua zote kwa mujibu wa taratibu hizo ambapo uamuzi wa Baraza Kuu la Taifa limepitisha uamuzi wake na kuwateuwa baadhi ya wagombea hao, huku Maalim Seif Sharif Hamad akiwa amepita bila ya kupigwa kwa kura za siri 56 zote zilimpa kura ya NDIO bila ya kigugumizi. Kwa taarifa zaidi bofya hapa ili upate majina ya wajumbe wote.
WAGOMBEA WALIOTEULIWA NA CHAMA NAFASI ZA UBUNGE NA UWAKILISHI
JIMBO LA MJI MKONGWE
Ismail Jussa Ladhu (Uwakilishi)
Ali Abdalla Ali Saleh (Ubunge)
JIMBO LA JANG’OMBE
Ali Haji Mwadini (Uwakilishi)
Moh’d Yussuf Maalim (Ubunge)
JIMBO LA RAHALEO
(WAGOMBEA HAWAJAPATIKANA)
JIMBO LA KIKWAJUNI
Moh’d Khalfan Sultani (Uwakilishi)
JIMBO LA CHUMBUNI
Maulid Suleiman Juma (Uwakiilishi)
Omar Ali Khamis (Ubunge)
JIMBO LA KWAMTIPURA
Amina Rashid Salum (Uwakilisihi)
Abdi Seif Hamad (Ubunge)
JIMBO LA MAGOMENI
Yussuf Idrisa Mudu (Uwakilishi )
Ahmed Khamis Hamad (Ubunge)
JIMBO LA MPENDAE
Ali Hamad Ali (Uwakilishi)
Omar Moh’d Omar (Ubunge)
JIMBO LA AMANI
Khamis Rashid Abeid (Uwakilishi)
Khamis Silima Ame (Ubunge)
JIMBO LA KWAHANI
Hassan Juma Hassan (Uwakilishi)
Khamis Mussa Haji (Ubunge)
JIMBO LA MAGOGONI
Abdilahi Jihad Hassan (Uwakilishi)
Saleh Moh’d Saleh (Ubunge)
JIMBO LA BUBUBU
Juma Duni Haji (Uwakilishi)
Juma Khamis Juma (Ubunge)
JIMBO LA MFENESINI
Saleh Khamis Omar (Uwakilishi)
Hassan Othman Makame (Ubunge)
JIMBO LA MTONI
Nassor Ahmed Mazrui (Uwakilishi)
Ali Ame Ali (Ubunge)
JIMBO LA DOLE
Yussuf Omar Muhine (Uwakilishi)
Khamis Msabah Mzee (Ubunge)
JIMBO LA DIMANI
Moh’d Hashim Ismail (Uwakilishi)
Khalid Said Suleiman (Ubunge)
JIMBO LA KIEMBE SAMAKI
Mansour Yussuf Himid (Uwakilishi)
Moh’d Nassor Moh’d (Ubunge)
JIMBO LA MWANAKWEREKWE
Ussi Juma Hassan (Uwakilishi)
Ali Salum Khamis (Ubunge)
JIMBO LA FUONI
Sleiman Simai Pandu (Uwakilishi)
Moh’d Juma Aminia (Ubunge)
JIMBO L A NUNGWI
Hassan Jani Masoud (Uwakilishi)
Yussuf Haji Khamis (Ubunge)
JIMBO LA MATEMWE
Nahoda Khamis Haji (Uwakilishi)
Dunia Haji Pandu (Ubunge )
JIMBO LA MKWAJUNI
Haji Kesi Haji (Uwakilishi)
Khamis Masoud Nasor (Ubunge)
JIMBO LA CHAANI
Khamis Amour Vuai (Uwakilishi)
Khatib Ali Juma (Ubunge)
JIMBO LA TUMBATU
Makame Haji Makame (Uwakilishi)
Rashid Khamis Rashid (Ubunge)
JIMBO LA DONGE
Sleiman Ahmed Sleiman (Uwakilishi)
Kombo Moh’d Kombo (Ubunge)
JIMBO LA BUMBWINI
Zahran Juma Mshamba (Uwakilishi)
Moh’d Amour Moh’d (Ubunge)
JIMBO LA KITOPE
Hassan Khatib Kheir (Uwakilishi)
Mwinshaha Shehe Abdalla (Ubunge)
JIMBO LA UZINI
Asha Simai Issa (Uwakilishi)
Adam Ali Wazir (Ubunge)
JIMBO LA KOANI
Khamis Malik Khamis (Uwakilishi)
Shaaban Iddi Ame (Ubunge)
JIMBO LA CHWAKA
Arafa Shauri Mjaka (Uwakilishi )
Ali Khamis Ame (Ubunge)
JIMBO LA MAKUNDUCHI
(HAJAPATIKANA )
JIMBO LA MUYUNI
Asha Abdu Haji (Uwakilishi)
Baswira Hassan Suleiman (Ubunge)
JIMBO LA TUMBE
Mmanga Moh’d Hemed (Uwakilishi)
Rashid Ali Abdalla (Ubunge)
JIMBO LA MICHEWENI
Subeit Khamis Faki (Uwakilishi)
Haji Khatib Kai (Ubunge)
JIMBO LA KONDE
Issa Said Juma (Uwakilishi)
Khatib Said Haji (Ubunge)
JIMBO LA MGOGONI
Abubakar Khamis Bakar (Uwakilishi)
Juma Kombo Hamad (Ubunge)
JIMBO LA WETE
Dr, Suleiman Ali Yussuf (Uwakilishi)
Mbarouk Salum Ali (Ubunge)
JIMBO LA OLE
Hamad Masoud Hamad (Uwakilishi)
Rajab Mbarouk Moh’d (Ubunge)
JIMBO LA GANDO
Said Ali Mbarouk (Uwakilishi)
Othman Omar Haji (Ubunge)
JIMBO LA MTAMBWE
(UWAKILISHI HAJAPATIKANA)
Khalifa Moh’d Issa (Ubunge)
JIMBO LA KOJANI
Hassan Hamad Omar (Uwakilishi)
Hamad Salum Maalim (Ubunge)
JIMBO LA CHAKE CHAKE
Omar Ali Shehe (Uwakilishi)
Yussuf Kaiza Makame (Ubunge)
JIMBO LA CHONGA
Khamis Faki Marango (Uwakilishi)
Moh’d Juma Khatib (Ubunge)
JIMBO LA ZIWANI
Moh’d Ali Salum (Uwakilishi)
Ahmed Juma Ngwali (Ubunge)
JIMBO LA WAWI
Khalifa Abdalla Ali (Uwakilishi)
Juma Hamad Omar (Ubunge)
JIMBO LA CHAMBANI
Moh’d Mbwana Hamad (Uwakilishi)
Yussuf Salim Husein (Ubunge)
JIMBO LA KIWANI
Hija Hassan Hija (Uwakilishi)
Abdalla Haji Ali (Ubunge)
JIMBO LA MKANYAGENI
Tahir Aweis Moh’d (Uwakilishi)
Moh’d Habibu Juma Mnyaa (Ubunge)
JIMBO LA MKOANI
Seif Khamis Moh’d (Uwakilishi)
Ali Khamis Seif (Ubunge)
JIMBO LA MTAMBILE
Abdalla Bakar Hassan (Uwakilishi)
Masoud Abdalla Salim (Ubunge)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment