Zanzibar Kumekucha Mwezi huu Viongozi hawa Wawili wamekutana mara mbili Dodoma na sasa hivi Dar
Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu huku mamia ya Wazanzibari wanaofikiriwa kuwa ni Wafuasi wa CUF wakinyimwa haki ya kujiandikisha kupiga kura kwa vile wamenyimwa kitambulisho cha Uzanzibari kwua wao sio Wazanzibari
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar esalaam es Salaam. Huku Mamia ya Wazanzibari wakimiminika kwenye vituo vvya sheria Kuomba msaada wa kisheria ili wapewe haki yao ya kujiandikisha .
No comments:
Post a Comment