Ni mjadala mkubwa wa kujiuliza jinsi vyombo vya Muungano vinavyotumiwa kudumaza demokrasia Zanzibar huu ni ushahidi tosha.
Hali ya Usalama Zanzibarilikua sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu ya CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif Sharif Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye Dr All Mohamed Shein.Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais.
No comments:
Post a Comment