Kama Hatukusema Nani Atasema Mtanzania Zinduka !
Mtanzania Zinduka.
Monday, 26 October 2015
Zanzibar yakumbwa na giza nene Baada ya anguko la CCM
Waandishi wa Habari wakiwa Bize Kupata Matokeo ya Kura za Urais Zanzibar.
Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Ndani na Nje wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar kwa sasa tayari majimbo manne tayari yameshatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
No comments:
Post a Comment