Friday, 31 January 2014

KIEMBESAMAKI WAPIGA KURA WAKAGUA MAJINA YAO

Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki Wakiangalia Majina Yao.

 Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiangalia majina yao katika kituo cha kupigia katika skuli ya Kiembesamaki wakati wa zoezi la Uchanguzi Mdogo wa Mwakilishi wajuwe kituo chao cha kupigia kura, ili wasipate shida wakati wa kupiga kurao tarehe 2-2-2014.  

No comments: