Saturday, 1 February 2014

CCM WAFUNGA KAMPENI KIEMBESAMAKI

jmbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akimuombea Kura Mgomba wa CCM Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM katika viwanja vya mpira Chukwani.  WanaChama wa CCM Jimbo la kiembesamaki wakimshangilia mgombea wao wakati akitambulishwa katika mkutano wa kampeni ya mwisho zilizofantyika katika viwanja vya mpira chukwani.

No comments: