M HADHIRI maarufu nchini, Prof. Issa Shivji, amekosoa mfumo uliotumika kuwapata wajumbe wa bunge la katika kutoka asasi za kiraia, akisema walitakiwa wachaguliwe na wananchi badala ya kuteuliwa na Rais. Mwenyekiti wa Chama chaTaifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Nec katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya CCM Dodoma leo,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Nec kutoka upande wa Zanzibar wakisikiliza mada zilizotolewa katika kikao hicho kilichoanza leo chini ya Mwenyekiti wake Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.jakaya Mrisho Kikwete Mjini Dodoma,[Picha na Ramadhan Othaman,Dodoma.]
Uzalendo wa Nchi CCM Zanzibar umepotea maslahi ya chama mbele sio Nchi nani aliowatuma mwaka 1995 Mumfanye Rais wa Zanzibar kuwa Waziri asielkuwa na Wizara maalum mutnataka kula MAtapishi yenu ya 1995 leo si Tuliwaambia Wazanzibari munaiuza nchi kwa maslahi ya chama Mwaka 1995 Kumuondoa Rais wa Zanzibar kuwa Makamo wa Rais !
g.
No comments:
Post a Comment