Thursday, 3 April 2014

CHADEMA WAINGIA CHALINZE KWA KISHINDO

Akizungumza katika mkutano wa kumnadi mgombea ubunge kupitia chadema Waitara amewataka wananchi kuchagua upinzani, huku akitolea mfano majimbo ambayo tayari yametawaliwa na wabunge wa CHADEMA

No comments: