Sunday, 6 April 2014

KONGAMANO LA KATIBA LEO ZANZIBAR

Kongamano Kuzungumzia Rasimu ya Katiba Bwawani Hotel Zanzibar

Mjumbe Mstaafu wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Mhe Awadh Ali Said, akizungumza katika Kongamano la Kuzungumzia Rasimu ya Katiba, akizungumzia katika kongamano hilo muundo wa uliowakilishwa na tume kuhusu serekali tatu, lililofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani, wakimsikiliza mtoa mada akiwasilisha mada yake. 
  Wakifuatilia Mada iliokuwa ikiwasilishwa na Mhe Awadh Ali Said wakati wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbib wa hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Mheshima Salim Bimani na naaliekuwaWaziri  Mansour  Yussuf  Himid
              Wakifuatilia Mkutano wa Kongamano la kuzungumzai Rasimu ya Katiba Mpya ya Tanzania.
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Tanzania Mhe. Mohammed Yussuf Mshamba, akitowa mada katika Kongamano hilo, kuhusiana na Marekebisho ya 10 ya Katiba ya Zanzibar  

No comments: