Friday, 4 April 2014

UKAWA


TAARIFA MUHIMU SANA
UKAWA NJE YA BUNGE INAWAALIKA WANANCHI NA WANACHAMA WOTE WA VYAMA VYA CUF, CHADEMA NA NCCR KUHUDHURIA KONGAMNAO KUBWA LITAKALOFANYIKA 5 APRIL, 2014 SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 3 ASUBUHI LANDMARK HOTEL, UBUNGO DARAJANI ( MAENEO YA RIVERSIDE DSM).
MADA: MAENDELEO YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA YANAYOJIRI NDANI YA BUNGE.
WAJUMBE WA TUME YA WARIOBA WATAHUDHURIA.
UKIPATA TAARIFA HII MJULISHE NA MWENZIO.
Imetolewa na Kaimu Naibu Katibu Mkuu (CUF)
0716 226642
0713 461073SIKILIZA MAONI KUTOKA KAMISHNA WA TUME YA WARIOBA .

No comments: