Saturday, 31 May 2014

Serikali ya Jubilee iko hatarini kukumbwa na African spring !Muungano wa kisiasa wa upinzani nchini umeipa serikali makataa ya hadi tarehe saba mwezi julai mwaka huu kuandaa kongamano la kitaifa, la sivyo upinzani utazindua ratiba yake ya kutekeleza mabadiliko nchini.Muungano huo ukiongozwa na vinara wake Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula umeikashifu serikali kwa kudai kwamba inatoa uongozi duni, na huenda upinzani ukawajibika kuchukua hatua kikatiba

.Hayo yamememwa katika bustani ya Uhuru wakati wa mkutano wa kisiasa wa kumkaribisha nchini kinara wa CORD Raila Odinga.

No comments: