Monday, 13 April 2015

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPTALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPTALI YA MACHAME.Haya ni maneno yaliyoandikwa katika magari hayo.
Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.
Magari ya wagonjwa yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Hai kwa ajili ya wagonjwa jimboni humo.
Mbunge Mbowe akiwa amembeba moja ya watoto waliofika uwanjani hapo kwa ajili ya kushuhudia msaada wa magari ya wagonjwa yaliyotolewa na mbunge huyo kwa watu wa jimbo la Hai.


Magari mawili ya kubebea wagonjwa(Ambulance) yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe yakiwasili katika viwanja vya soko la Kuni kwa ajili ya kukabidhiwa kwa viongozi wa hosptali ya wilaya ya Hai pamoja na hosptali ya Machame inayosimamiwa na kanisa la KKKT.
Muonekano wa ndani wa magari hayo ya kubebea wagonjwa .
Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.
Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.

No comments: