Sunday, 21 June 2015

Maalim Seif afungua Msikiti mpya wa Kinyasini, Pemba

 MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika eneo la Msikiti wa Kinyasini na kupokelewa na Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe:Abubakar Khamis Bakary, kwa lengo la kuufungua mskiti huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mwakilishi wa Jumuiya ya IHH kutoka uturuki, mara baada ya kuwasili katika mskiti wa Kinyasini Uliojengwa na Mfadhili Hassan Hussein kutoka Uturuki. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika msikiti wa Kinyasini jimbo la Mgogoni kisiwani Pemba, huku akipokelewa na wanafunzi mbali mbali waliokuwa wakisoma kasida. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akikata utepe kuashiria kuufungua rasmi Mskiti wa Kinyasini kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua mlango kuashiria kuufungua msikiti wa Kinyasini kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WAUMINI mbali mbali wa dini ya Kiislamu wakimsikiliza kwa makini Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kinyasini mara baada ya kuufungua msikiti wao. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wananchi wa Kinyasini kisiwani Pemba, mara baada ya kuufungua mskiti wao. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akiwaaga wananchi wa Kinyasini kwa kuwapungia mkono, mara baada ya kuufungua mskiti wao. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments: