Tuesday, 11 August 2015

Barabara zilivyofungwa Dar baada ya Lowassa kuchukua Fomu ya Urais NEC


Msikilize hapa Chini anavyotaka kuwakomboa Watanzania.
lowaMgombea Urais anayewakilisha UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa amefika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuchukua Fomu yake.Picha za kwanza nilikusogezea msafara uliotoka Makao Makuu wa CUF Buguruni Dar es Salaam, wengine kwenye magari, wengine bodaboda.. wengine walifunga safari kwa miguu kumsindikiza Mgombea huyo kutoka Buguruni mpaka Ofisi za NEC Posta alafu safari ikaendelea tena mpaka Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Dar.Mgombea Urais anayewakilisha UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa amefika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuchukua Fomu yake.
No comments: