Sunday, 30 August 2015

Maalim Seif amlilia Kanali Kimbau


  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitia saini kitabu cha maombolezi nyumbani kwa marehemu Kanali mstaafu Ayubu Shomari Kimbau, Kinondoni Dar es Salaam. Kimbau pia alikuwa mwanasiasa mstaafu aliyekuwa mbunge wa muda mrefu Wilayani Mafia.


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na mtoto wa marehemu Kanali Mstaafu Kimbau, Omar Ayubu Kimbau, baada ya kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha baba yake marehemu Kanali Mstaafu Ayubu Kimbau. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments: