WAGOMBEA UBUNGE WA UKAWA KATIKA KILA JIMBO LA TANZANIA BARA
Maamuzi ya kupitisha wagombea hao katika majimbo 262 yamesainiwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Abdallah Safari, Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Tozzy Matwanga na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Twaha Taslima.
Majimbo matatu yaliyobaki (Mtwara Mjini, Serengeti na Mwanga) yanasubiri muafaka baada ya kujitokeza wagombea wawili kwa kila jimbo huku kila mgombea akidai anakubalika kuliko mwenzake, ingawa vyama hivyo vilishayagawa majimbo hayo kwa chama kitakachogombea.
Jimbo la Serengeti wamejitokeza Marwa Ryoba (CHADEMA) na Mosena Nyambabe (NCCR-Mageuzi), jimbo la Mwanga wamejitokeza Henry Kilewo (CHADEMA) na Youngsaviour Msuya (NCCR-Mageuzi) na Mtwara Mjini wamejitokeza Maftaha Nachuma (CUF) na Hassani Uledi (NCCR-Mageuzi).
Majimbo ya Segerea na Kigamboni ya jijini Dar es Salaam tayari yamefanyiwa maamuzi kwa Julius Mtatiro (CUF) kubaki ndiye mgombea Segerea na Lucy Magereli wa Chadema kuwa mgombea jimbo la Kigamboni.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam, wakati akitangaza majina hayo Katibu wa NCCR-Mageuzi, Dk. George Kahangwa amesema baada ya maamuzi hayo, haitarajiwi kutokea matatizo ya mivutano kwa viongozi wa ngazi ya mikoa hadi matawi wa vyama vya UKAWA.
“Hatutarajii kuona viongozi wetu wa ngazi zote hasa zile za mikoa, wilaya, kata na matawi wanakuwa kikwazo cha kuyafikia malengo ya kuwakilishwa na mgombea mmoja,” amesema.
“Mgombea yeyote ambaye chama chake hakijaachiwa jimbo analogombea anatakiwa kujitoa katika nafasi yake hiyo na kumwachia mgombea wa chama kilichoachiwa jimbo hilo na kumpatia ushirikiano katika kampeni na utaratibu wa uchaguzi ili tushinde,” amesema Dk. Kahangwa.
Aidha, amesema viongozi kutoka vyama hivyo katika ngazi zote wanapaswa kuzingatia mwongozo wa awali uliosainiwa na Makatibu Wakuu wa vyama hivyo kuhusu kusimamisha wagombea katika nafasi ya udiwani.
Wakati muongozo huo ulipotolewa, viongozi hao walisema kwamba pale patakapokuwa na mvutano hata baada ya maamuzi ya jimbo limeachiwa chama gani kufanywa, basi viongozi wa kitaifa watakapokuwa kwenye kampeni, watazingatia maamuzi hayo na kuwatakia kura waliopitishwa kulingana na maamuzi yale.

MARA
- Rorya CDM STEVEN J OWAWA
- Tarime Mjini CDM ESTHER N MATIKO
- Tarime Vijijini CDM JOHN HECHE
- Serengeti CDM/NCCR MARWA RYOBA/MOSENA J.NYAMBABE
- Musoma Vijijini CDM ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
- Butiama CDM YUSUPH R KAZI
- Bunda Mjini CDM ESTHER BULAYA
- Mwibara CDM HARUN D. CHIRIKO
- Musoma Mjini CDM VINCENT J NYERERE
- Bunda Vijijini CDM SULEIMAN DAUDI
SIMIYU
- Bariadi CDM GODWIN SIMBA
- Maswa magharibi CDM ABDALA PATEL
- Maswa mashariki CDM SYLVESTER KASULUMBAYI
- Kisesa CDM MASANJA MANANI
- Meatu CDM MESHACK OPULUKWA
- Itilima CDM MARTINE MAGILE
- Busega CUF JUMA A MAGOMA
SHINYANGA
- Solwa CDM JAMES MSHANDETE
- Msalala CDM PAUL MALAIKA
- Kahama Mjini CDM LEMBELI JAMES
- Kahama Vijijini CDM SIMON BUKAKIYE ISAYA
- Shinyanga Mjini CDM PATROAS PASCHAL K
- Kishapu CDM FRED MPENDAZOE
MWANZA
- Ukerewe CDM JOSEPH MKUNDI
- Magu CDM KALWINZI NGONGOSEKE
- Nyamagana CDM EZEKIA D. WENJE
- Kwimba CUF JULIUS S OTTO
- Sumve CUF RICHARD M NTUNDURU
- Buchosa CDM MARTINE KASWAHILI
- Sengerema CDM FRANSISCO SHEYJAMABU
- Ilemela CDM HIGHNESS KIWIA
- Misungwi CDM LEONIDAS KONDELA
GEITA
- Bukombe CDM PROF. KULIKOYELA KAHIGI
- Busanda CDM ALPHONCE C MAWAZO
- Geita Vijijini CUF SEVERINE M MAGESE
- Nyang’wale CDM RICHARD MABULA
- Chato CDM DR. BENEDICT LUKANIMA
- Mbogwe CDM NICHOLAUS H MAGANGA
- Geita Mjini CDM RODGERS LUHEGA
KAGERA
- Karagwe CDM PRINCE RWAZO
- Kyerwa CDM BATRINIHO LADISLAUS
- Bukoba Mjini CDM WILFRED LWAKATARE
- Bukoba Vijijini CUF BUBELWA KAIZA
- Nkenge NCCR ANGELINA MUTAHIWA
- Muleba Kaskazini CDM ANSBERT NGURUMO
- Muleba Kusini CDM ALISTIDES KASHASILA
- Biharamulo CDM DR. ANTHONY MBASSA
- Ngara NCCR HELENA ADRIAN GHOZI
MBEYA
- Lupa CDM NJELU KASAKA
- Songwe CDM MPOKI MWANKUSYE
- Mbeya Mjini CDM JOSEPH MBILINYI
- Kyela CDM ABRAHAM MWANYAMAKI
- Rungwe CDM JOHN D MWAMBIGIJA
- Busekelo CDM BONIPHACE A MWAMUKUSI
- Ileje NCCR EMMANUEL MBUBA
- Mbozi Mashariki CDM PASCHAL HAONGA
- Momba CDM DAVID E SILINDE
- Mbarali CUF GAMDUST HAJI
- Mbeya Vijijini CDM ADAM NZELA
- Tunduma CDM FRANK MWAKAJOKA
- Vwawa CDM FANUEL MKISI
IRINGA
- Ismani CDM PATRICK OLE SOSOPI
- Kalenga CDM MUSSA L MDEDE
- Mufindi kaskazini CDM JUMANNE K MASONDA
- Mufindi Kusini CDM FRANK MALATA
- Iringa Mjini CDM PETER MSIGWA
- Kilolo CDM BRIAN KIKOTI
- Mafinga Mjini CDM WILLE MUNGAI
NJOMBE
- Njombe Kusini CDM EMMANUEL MASONGA
- Lupembe CDM EDWIN E SWALE
- Wanging’ombe CDM DISMAS A LUHWAGO
- Makete CDM JACKSON T MOGELA
- Ludewa CDM ATHROMEO MKINGA
- Makambako CDM MHEMA
RUKWA
- Nkasi Kusini CDM ALFRED DANIEL SOTOKA
- Kwela CDM DANIEL NAFTAL NGOGO
- Nkasi Kaskazini CDM KESSY SOUD
- Sumbawanga Mjini CDM SADRICK MALILA
- Kalambo CDM VICTOR MATENI
TANGA
- Handeni Mjini CUF REMMY A SHUNDI
- Handeni Vijijini CUF ROBINSON R KILANGO
- Kilindi CDM JERADI K MREMA
- Pangani CUF AMINA M MWIDAU
- Tanga Mjini CUF MUSSA B MBAROUK
- Muheza CDM ERNEST MSINGWA
- Bumbuli CDM DAVID CHENYEGOHA
- Mlalo CUF GOGOLO SECHONGE
- Lushoto CUF ADAM KAONEKA
- Korogwe Mjini NCCR ROSE MICHAEL LUGENDO
- Korogwe Vijijini CDM EMMANUEL KIMEA
- Mkinga CUF BAKARI K MBEGA
KILIMANJARO
- Rombo CDM JOSEPH SELASIN
- Mwanga CDM/NCCR HENRY KILEWO/ YOUNGSAVIOUR MSUYA
- Same Magharibi CDM CHRISTOPHER S MBAJO
- Same mashariki CDM NAGENJWA KABOYOKA
- Vunjo NCCR JAMES F. MBATIA
- Moshi Vijijini CDM ANTHONY C KOMU
- Moshi Mjini CDM JAFARY P MICHAEL
- Hai CDM FREEMAN A MBOWE
- Siha CDM DR. GODWIN MOLLEL
ARUSHA
- Arumeru Mashariki CDM JOSHUA NASSARI
- Arumeru Magharibi CDM GIBSON MESIYEKI
- Arusha Mjini CDM GODBLESS LEMA
- Longido CDM OLE NANGOLE
- Monduli CDM JULIUS KALANGA
- Karatu CDM WILLE QAMBALO
- Ngorongoro CDM ELIAS NGORISA
MANYARA
- Simanjiro CDM JAMES OLE MILLYA
- Mbulu Vijijini CDM MIKEL PETRO AWEDA
- Hanang CDM MAGOMA RASHID DERICK
- Babati Mjini CDM PAULINE P GEKUL
- Babati Vijijini CDM LAURENT TARRA
- Kiteto CDM KIDAWA ATHUMANI IYAVU
- Mbulu Mjini CDM PAULO HERMAN SULLE
DAR ES SALAAM
- Ubungo CDM SAED KUBENEA
- Kawe CDM HALIMA JAMES MDEE
- Kinondoni CUF MAULID SAID
- Segerea CUF JULIUS MTATIRO
- Ukonga CDM MWITA WAITARA
- Ilala CDM MUSLIM HASSANALI
- Temeke CUF ABDALLA MTOLEA
- Kigamboni CDM LUCY MAGERELI
- Kibamba CDM JOHN JOHN MNYIKA
- Mbagala CUF KONDO J BUNGO
PWANI
- Bagamoyo CUF DR. ANDREA KASAMBALA
- Chalinze CDM MATHAYO TM. TORONGEY
- Kibaha Mjini CDM MICHAEL PAUL MTALY
- Kibaha Vijijini CDM KINABO EDWARD KINABO
- Kisarawe CUF RASHID M MZANGE
- Mkuranga CUF ALLY UBUGUYU
- Rufiji Utete CUF KULUTHUMU MCHUCHULI
- Mafia CUF OMARY A KIMBAU
- Rufiji Kibiti CUF ABDALLAH M ISMAIL
MOROGORO
- Gairo CDM SALIM YUSUPH MPANDA
- Kilosa CUF ABEID H MLAPAKOLO
- Mikumi CDM JOSEPH HAULE
- Morogoro Kusini CDM DAVID LUKAGINGIRA
- Morogoro Mashariki CUF SALAMA O AWADH
- Kilombero CDM PETER KIBATALA
- Mlimba CDM SUZAN L. KIWANGA
- Mvomero CDM OSWALD MLAY
- Ulanga Magharibi CDM ALPHONCE MBASSA
- Ulanga Mashariki CDM PANCRAS KONGOLI
- Morogoro Mjini CDM MARCOSSY ALBANIE
DODOMA
- Kondoa Mjini CUF YASIN S BAKARI
- Kondoa Vijijini CUF ALLY B KAMBI
- Chemba CUF ROGATH A MHINDI
- Kibakwe CDM MSAFIRI MZINGA
- Mpwapwa CDM BARAKA
- Kongwa CDM ESAU NGOMBEI
- Dodoma Mjini CDM SINGO BENSON KIGAILA
- Bahi CDM MATHIAS LYAMUNDA
- Chilonwa CDM JOHN CHOGONGO
- Mtera CDM CHRISTOPHER NYAMWANJI
SINGIDA
- Iramba magharibi CDM JESCA KISHOA
- Iramba mashariki CDM OSCAR KAPALALE
- Singida kaskazini CDM DAVID DJUMBE
- Singida Mashariki CDM TUNDU A LISSU
- Singida Magharibi CDM MARCO ALLUTE
- Manyoni magharibi CDM LUPAA DONALD
- Manyoni Mashariki CDM ALLUTE EMMANUEL
- Singida Mjini CDM MGANA MSINDAI
TABORA
- Bukene CUF DR. GODBLESS MAGULA
- Nzega Mjini CDM CHARLES MABULA
- Nzega Vijijini CUF KHAMIS IDD KATUGA
- Igunga CDM NG’WIGULU KUBE
- Igalula CUF MOHAMED S A MERJIBI
- Tabora Kaskazini CUF REHEMA H BUSHIRI
- Urambo CDM SAMWELI NTAKAMLENGA
- Kaliua CUF MAGDALEN SAKAYA
- Ulyankulu CDM DEUS NGERERE
- Sikonge CDM HIJJA RAMADHANI
- Tabora Mjini CUF PETER S. MKUFYA
- Manonga CDM ALLY KHALFANI NGUZO
KATAVI
- Mpanda Mjini CDM JONAS KALINDE
- Mpanda Vijijini CDM MUSSA MASANJA
- Katavi CDM GEORGE SAMBWE
- Nsimbo CDM GERALD KITABU
- Kavuu CDM LAURENT SENGA
KIGOMA
- Buyungu NCCR MATHUSELA A MAWAZO
- Mhambwe NCCR FELIX F MKOSAMALI
- Kasulu Mjini NCCR GIDEON B BONIPHACE
- Kasulu Vijijini NCCR AGRIPINA Z BUYOGERA
- Kigoma Kaskazini CDM DR. YARED FUBUSA
- Kigoma Kusini NCCR DAVID Z KAFULILA
- Kigoma Mjini CDM DANIEL LUMENYELA
- Manyovu NCCR MUHANDISI MWOMELA
RUVUMA
- Tunduru Kaskazini CUF MANJORO D KAMBILI
- Peramiho CDM ELASMO MWINGIRA
- Mbinga Magharibi CDM CUTHBERT S. NGWATA
- Mbinga Mashariki CDM EDWIN B. AKITANDA
- Namtumbo CUF BONIFASIA A MAPUNDA
- Songea Mjini CDM JOSEPH FUIME
- Tunduru Kusini CUF SADICK B SONGONI
- Madaba CDM EDSON MBOGORO
- Mbinga Mjini NCCR MARIO MILLINGA
MTWARA
- Newala Mjini CUF JUMA S MANGUYA
- Newala Vijijini CUF JAFAR S MNEKE
- Tandahimba CUF KATANI A KATANI
- Mtwara Vijijini CUF RASHID NANDONDE
- Nanyamba CUF HAKUNA MGOMBEA
- Mtwara Mjini CUF/NCCR MAFTAHA NACHUMA/HASSANI A ULEDI
- Nanyumbu CUF MAJARIBU H LUPETO
- Lulindi NLD MODESTA PONELA
- Masasi NLD EMMANUEL MAKAIDI
- Ndanda NLD ANGELOUS THOMAS
LINDI
- Mtama CUF ISIHAKA R MCHINJITA
- Kilwa Kaskazini CUF VEDASTO E NGOMBALE
- Kilwa Kusini CUF SELEMANI S BUNGALA
- Lindi Mjini CUF SALUM BARWANY
- Ruangwa CUF OMARY I MAKOTA
- Nachingwea CUF JORDAI MEMBE
- Liwale CUF ZUBERI M KUCHAUKA
- Mchinga CUF HAMIDU H BOBALI
No comments:
Post a Comment