Sunday, 31 May 2015

Maalim Seif arejesha Fomu za kugombea Urais kupitia CUF

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza machache baada ya kukabidhi fomu ya kugombea Urais.Wakati wa kurejesha fomu hiyo Maalim Seif amewaambia waandishi wa habari kuwa " Hii ni safari ya ukombozi wa Zanzibar" na anataraji uchaguzi wa  2015 uwe wa amani kuliko ule wa 2010. (Picha na Hassan Hamad, OMKR)

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika Ofisi za CUF jimbo la Bububu kwa ajili y akurudisha fomu ya kugombea Urais kupitia CUF
 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.



Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamasd akizungumza machache baada ya kukabidhi fomu ya kugombea Urais.Wakati wa kurejesha fomu hiyo Maalim Seif amewaambia waandishi wa habari kuwa " Hii ni safari ya ukombozi wa Zanzibar" na anataraji uchaguzi wa  2015 uwe wa amani kuliko ule wa 2010. (Picha na Hassan Hamad, OMKR)

No comments: