Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muunfgano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi alipopanda katika jukwaa wakati alipowasalimia maelfu ya WanaCCM,Wananchi na wapenda Amani leo katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteta jambo na Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan leo wakati wamkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment