Friday, 23 October 2015

Mwanadiapsora Kutoka Marekani alieitnigisha Mbeya

MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI
Ni Liberatus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi Maryland, DC na Virginia (DMV) amekuwa akivunja rekodi kwenye historia za mbio za ubunge jimbo la Mbarali kwa kukusanya vijana na watu wa rika mbalimbali wengi kuliko ilivyo wahi tokea jimboni Mbarali.



 Juu na chini: Libe katika ubora wake




 







No comments: