Saturday, 10 February 2007

Mapinduzi yachoshaa!!

Wakati Malecela akihudhuria sherehe za Mapinduzi , Karume aimba Mapinduzi oyee , Mzee Sigwemisi asema bora nisinzie kidogo hakuna jipya hapa uwanjani leo.

No comments: