Tuesday 21 January 2014

WHAT IS NEW ON NEW PRESIDENT KIKWETE CABINET ?

CCM AFTER LOSING THE BATTLE ON YOUTH NOW ARE COUNTING ON WOMAN VOTERS FOR 2015 ELECTION

New President Kikwete Ministers , I will congratulate Dr Kikwete for giving woman more power to participate in the country development , I believe woman are less corrupt can help the country to move forward. I hope his counterpart in Zanzibar will give more representation to woman. Anouncing the reshuffle in Dar es Salaam, the Chief Secretary, Ambassador Ombeni Sefue, defended the 'so-described as tainted-yet-retained' ministers as "not being responsible for the inefficiencies in their ministries." The 'tainted' ones include Education and Culture Minister Dr Shukuru Kawambwa, Water Minister Prof Jumanne Maghembe and Agriculture, Food Security and Cooperatives Minister Christopher Chiza. They have all retained their positions




New Minister of Finance Honorary Saada Salim Mkuya 
For Miss Sada is one step for Woman to have this finance docket it need some one who  have experience  like her  wh owas Deputy Minister before the death of Former Finance Minister this year in South Africa.


New Minister of Constitution, Hon  Asha Rose Migiro Former United Nations Deputy Secretary General, Dr Asha- Rose Migiro, takes over the Ministry of Justice and Constitutional Affairs from Mr Mathias Chikawe, while Ms Angelah Kairuki remains deputy minister..Many beleive she is tough negotioator the former Top diplomat can negotiate with the opposition  CUF from Zanzibar and Tanganyika opposition Chadema in order to have new constitution peaceful and to have refrendum to pass the constitution which will be used in 2015 election.
Deputy Minister Hon Janet Zebedayo Mbene , Deputy Minister of Trade and Industry  Ms Janet Mbene, who was formerly a deputy minister for finance.

Jenista Joakim MHAGAMA Deputy Minister of Education and vocational training

Mabadiliko hayo katika Baraza La Mawaziri yanafuatia hatua ya kuwajibishwa kwa mawaziri 4 katika baraza la mawaziri lililopita kufuatia kashfa ya Operesheni Tokomeza na pia kifo cha Waziri wa Fedha, Dr.William Mgimwa kilichotokea mwanzo wa mwaka huu.
Taarifa kutoka Ikulu inaonekana kama ifuatavyo;

1. OFISI YA RAIS

Hakuna mabadiliko.
2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) – Hakuna mabadiliko

Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)
Waziri wa Nchi (Mazingira).
Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)
Naibu Waziri
3. OFISI YA WAZIRI MKUU

4.0 
4.1 WIZARA YA FEDHA
Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)
Waziri wa Fedha

Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) 

Naibu Waziri wa Fedha (Sera)
Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)
Naibu Waziri wa Fedha

4.2 WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Hakuna mabadiliko
4.3 WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
4.3.1 Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb)
Waziri wa Katiba na Sheria
Naibu Waziri – Hakuna mabadiliko

4.4 WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
HonorableSamuel Sitta
Hakuna mabadiliko
4.5 WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
4.5.1 Waziri – Hakuna mabadiliko
4.5.2 Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb)
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara
4.6 WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
4.7 WIZARA YA UJENZI

Hakuna mabadiliko
4.8 WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
4.8.1 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)
Waziri wa Mambo ya Ndani
Naibu Waziri – Hakuna Mabadiliko

4.9 WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb)
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
4.10 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
4.10.1 Waziri: Hakuna mabadiliko
4.10.2 Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb)
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
4.11 WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
4.11.1 Waziri: Hakuna mabadiliko
4. 11.2 Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb)
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
4.12 WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
4.12.1 Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb)
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Mhe. Kaika Saning’o TELELE (Mb)
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
4.13 WIZARA YA KAZI NA AJIRA

Hakuna mabadiliko
4.14 WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Hakuna mabadiliko
4.15 WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
4.15.1 Waziri – Hakuna mabadiliko
4.15.2 Mhe. George Boniface Taguluvala SIMBACHAWENE (Mb)
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
4.16 WIZARA YA MAJI
4.16.1 Waziri – Hakuna mabadiliko
4.16.2 Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb)
Naibu Waziri wa Maji
4.17 WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
4.17.1 Waziri – Hakuna mabadiliko
4.17.2 Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb)
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
4.18 WIZARA YA UCHUKUZI
Hakuna mabadiliko
4.19 WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
4.19.1 Waziri – Hakuna mabadiliko
4.19.2 Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb)
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
4.20 WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
4.20.1 Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb)
Waziri wa Maliasili na Utalii
4.20.2 Mhe. Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii
4.21 WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Waziri – Hakuna mabadiliko

Naibu Waziri (Madini) – Hakuna mabadiliko

4.21.3 Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb)
Naibu Waziri (Nishati)



No comments: