Friday, 24 January 2014

NAKUKABIDHI WIZARA USILETE KASHFA NYENGINE YA MIRIPUKO MBAGALA !

Aliyekua Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  Mhe. Shamsi Vuai Nahodha  akabidhi Wizara ya Ulinzi na JKT kwa Waziri Mwinyi.


Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akipokelewa Wizarani na Katibu Mkuu Bw. Job Masima

No comments: