Wednesday 19 March 2014

BAADHI YA DONDOO ZA RASIMU YA WARIOBA NA MATAKWA YA WAZANZIBARI



DONDOO CHACHE NA MUHIMU ZA RASIMU YA KATIBA

1 .SEPARATION OF POWER BETWEEN PRESIDENT AND PARLIAMENT.
2. Rais LAzima achaguliwe kwa wingi wa asilimia 50%.
3. Rais ateuwe Viongozi wa Kitaifa wa Taasisi za Muungano.
4 .Viogozi wote wanaoteluliwa na Rais lazimawathibitishwe na Bunge.


5.Kuundwe Baraza la Ulinzi la Taifa.

6. Baraza laMuunagno kusimamia mambo ya muungano tu.
7Kuundwe Tume ya uhusiano ya uratibu wa serkali .
8. Spika wA Bunge asitokane na Wabunge.
9.Wabunge wasiwe Mawaziri.

10. Wabunge wasigombee zaidi ya vipindi vitatu.
11..Wananchi kuita kura yakumuwajibisha Mbunge wao.
12Kusiwe na Uchaguzi Mdogo wa Chama  chama kilichopoteza Mbunge kiteue Mbuneg mwengine hili siwafiki kwani mazingira ya siasa yanabadilika.
13.Mahakama za rufaa ziwe za Muungano.
14 .Zanzibar na tanganyika ziwe na Mahakama kuu zake.
15.Tume huru ya Uchaguzi hakuelezea vipi itapatikana tume huru ya uchaguzi.
16. Kuundwe tume ya Muunagno ya haki za binadamu.
17. Tume ya Utumishi ya Muungano.
18 Uteuzi wa utumishi utegemee uwezo sio ukerketwa wa kichama .





No comments: