Monday, 10 March 2014

CHADEMA WAIVAMIA MBEYA


KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasa na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe dhidi ya kashfa ya uzinzi inayomuandama, Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tindu Lissu amesema suala hilo ni maisha binafsi ya mtu, .


Hii Staili ya kubeba majeneza sijui wameitoa wapi....kwa upande wangu naona si sahihi na inatisha sana....mweee je wewe unasemaje ...Siasa na majeneza wapi na wapi?

No comments: