Thursday 6 March 2014

BUNGE LA KATIBA ALMOST ZIPIGWE NGUMI LEO !

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA VURUGU bungepic_696d3.jpg

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge maalum La Katiba Mh Pandu Kificho Ameahirisha Semina ya kujadili Kanuni za Bunge Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru,
Kutokana na Hali ya Kutokuelewana Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka Kutoleana maneno na Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo alipohoji kuhusu Kanuni hizo. Hivyo hali hio ilipelekea kuairishwa kwa bunge hilo maalum Dodoma.

No comments: