Thursday, 6 March 2014

SERA ZA CHAMA CHA ROYAL FAMILY ZINAENDELEA !

RIDHIWANI ASHINDA KURA ZA MAONI CCM KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE                                                                                                                       Matokeo: 
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316

Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu 
MARCH 1 KUCHUKUA FORM  NA KURUDISHA NI TAREHE TISA ,Tarehe 15/3/2014 UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCMARCH 3 KUCHUKUA FOM  
Matokoe uchaguzi uliopita 2010
WILAYA YA BAGAMOYO
CHALINZE
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
BWANAMDOGO SAIDI RAMADHANI
CCM
32,92487.3
KINGWALA MIRAJI ALLY
CUF
2,8377.52
NEEMA MFUNGO MASAMAKI
DP
2990.79
WAZIRI ISSA TOWAKALI
UPDP
2630.7
SPOILT VOTES1,3913.69
TOTALS37,714100

 Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya kupigia Kura yaMaoni kumchagua Mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze baada ya Mbunge wake Kufariki dunia na nafasi hiyo kuwa wazi


                             Wakiwa katika mstari kusubiri nafasi zao ili kupiga kura ya Maoni.


 Wanachama wa CCM wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya Maoni kumchagua Mgombea wa Ubunge kupitia CCM,ili kujaza nafasi iliokuwa wazi baada ya mbunge wake kufariki dunia.
 Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura muda huu , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga..Zoezi la upigaji kura linaendelea hapa Msata (Chalinze).
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi akipiga kura yaku kutumia Demokrasia yake kumchagua Mtu amtyakaye.
Jikumbushe utabiri wangu nilioutoa January 25 kwenye maziko ya Mbunge alieafriki http://dirayetu.blogspot.com/2014/01/ais-kikwete-aongoza-wananchi-wa-miono.html

No comments: