Thursday, 28 May 2015

Maalim Seif Achukua fomu ya Urais Zanzibar leo

 Maalim Seif Sharif Hamad leo alasiri amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na CUF kuwa mgombea wake kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar. Alichukua fomu hiyo katika Ofisi za Chama Wilaya ya Magharibi 'A' huko Bububu, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar katika hafla ndogo iliyojaa shamra shamra huku akiwa amesindikizwa na mamia ya wapenzi wake. 

SAFARI IMEANZA: Maalim Seif Sharif Hamad leo alasiri amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na CUF kuwa mgombea wake kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar. Alichukua fomu hiyo katika Ofisi za Chama Wilaya ya Magharibi 'A' huko Bububu, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar katika hafla ndogo iliyojaa shamra shamra huku akiwa amesindikizwa na mamia ya wapenzi wake.
Mamia ya wananchi wa Zanzibar leo walifika kushuhudia uchukuaji fomu wa Mgombea huyu wa Urais wa Zanzibar.
No comments: