Tuesday, 26 May 2015

Viongozi Walioshape Upinzani wa Tanzania hata mazishi yao yalionesha umoja ni Nguvu.

Unapozungumzia Umoja wa Upinzani Tanzania huwezi kuacha majina ya Musobi Mugeni na Bob Makani , ukisema Ukawa basi hii ndio ilikua ndio ndoto ya Waasisi hawa wa Chadema na CUF Picha ya Chini Bob Makani akiwa na Mgombea urais wa CUF mwaka 1995 Mheshimiwa Ibrahim Lipumba.MAzishi ya aliekuwa Mwenyekit iwa Chadema Mwaka 2012 Mheshimiwa Bob Makani
 Mawaziri Wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim wakiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh Zitto Kabwe msibani
 Mh. George Masaju, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akikaribishwa na Mh Mabere Marando
 Bendera ya CHADEMA ikipaishwa nusu mlingoti
 Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa meza kuu na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Mawaziri wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Mecky Sadik na viongozi wa CHADEMA

 Meza kuu
 Sehemu ya waombolezaji
 Watoto na ndugu wa karibu wa Marehemu Bob Makani
 Familia ya marehemu
 Rais wa Tanganyika Law Society akifariji familia ya marehemu baada ya kusoma risala yake
 Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akihani
 Sehemu ya wanafamilia wa Marehemu Bob Makani
 Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea
  Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwa meza kuu baada ya kuwasili kutoka visiwani 
 Sehemu ya waombolezaji
 Wanahabari
 MC wa shughuli Dkt Mfungo akiwa kazini
 Viongozi wakitoa heshima zao
 Heshima za mwisho
 Heshima kwa Bob Makani
 Mama Sumaye akiwa miongoni mwa waombolezaji
 Juu na chini Rais Kikwete akisindikizwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe

 Jaji Mkuu Mstaafu Mh Barnabas Samatta akiwasili
 Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama akitoa pole zake kwa Mh Mbowe
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa
 Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim wakiwasili msibani

MONDAY, JUN 11, 2012Buriani Bob Makani

No comments: