Tuesday, 29 September 2015

MGOMBEA MWENZA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA UKAWA MH JUMA DUNI HAJI AKIWA ZIARANI KILWA KUSINIMgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi. 
Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wananchi baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.

No comments: