Monday, 14 September 2015

Mkutano wa CUF Jimbo la Mahonda

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika 

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na vijana katika barza mbali mbali za CUF Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, jimbo la Mahonda.
 Baadhi ya wafuasi wa CUF waliojitokeza katika mkutano uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, wakimsikiliza Maalim Seif (hayupo pichani). Picha na OMKR

Mansour Yussuf Himid akihutbia 
Wafuasi wA CUF waliofika kwenye Mkutano huko Mahonda Baadhi ya wafuasi wa CUF waliojitokeza katika mkutano uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, wakimsikiliza Maalim Seif (hayupo pichani). Picha na OMKR.

No comments: