Wednesday, 21 October 2015

Moja kati ya mambo makubwa yanayoibuka Tanzania ni suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Muungano huo wa miongo mitano unazongwa na hoja za muundo na uhalali wa muungano huo. Je, suala hili lina msukumo gani katika uchaguzi huu?

Mwandishi wa BBC Swahili, Sammy Awami ametembelea Zanzibar kudadisi suala hili na kuripoti kama inavyoonekana kwenye video iliyopachikwa hapa.

No comments: