Thursday, 29 October 2015

Raila Odinga Ampongeza rafiki yake Magufuli,

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza swahiba yake John Magufuli baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.

No comments: