Monday, 18 January 2016

Lowassa akutana na Mameya Wapya


Aliyekuwa Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo Chadema, Edward Lowassa leo amewapongeza na kuwataka mameya wa kinondoni na Ilala waliochaguliwa, kuhakikisha kuwa wanakusanya mapato kwa wingi katika manispaa zao ikiwa ni pamoja na kutatua suala la uchafu uliokithiri katika miji yao na kupunguza kero ya miaka mingi ya foleni.

No comments: