Friday 5 February 2016

BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI LA UKAWA


Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe, ametangaza baraza lake kivuli la Mawaziri na kuwasihi wahusika kutoa Ushirikiano kwa Baraza hilo alilolitangaza bungeni baada ya Maswali na Majibu.

Waliotangazwa Katika Orodha hiyo ni Pamoja na:
Ofisi ya Rais
TAMISEMI
Waziri - Jafar Maiko
Joseph Mkundi
Utumishi
Waziri - Lucy Molel
Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano
Waziri - Ali saleh A. Ali
Pauline Gekul
Ofisi ya Waziri Mkuu
Bunge, Kazi na Ajira
Waziri - Esther Bulaya
Naibu-Yusuph Makame
Naibu-Mafutar Abdallah
 Sera na mipango
Waziri - Halima Mdee
Naibu - Davidi Silinde
Uchukuzi
Waziri - Injinia Mbatia
Naibu - Willy Kambalo
Nishati na madini
Waziri - John Mnyika
Naibu- John Heche
Mambo ya nje
Waziri - Peter Msigwa
Naibu- Riziki Shahari Mngwali
Kilimo
Waziri - Magdalena Sakaya
Naibu Dr. Swalehe
Ulinzi
Waziri - Juma Hamad Omar
Naibu - Mwita Waitara
Mambo ya Ndani
Waziri - Godbless Lema
Naibu- Masoud A Salim
 Ardhi
Waziri - Wilfred Lwakatare
Naibu- Salma Mohamed
 Maliasili na Utalii
Waziri - Esta Matiko
Naibu - Sesilia Pareso
Viwanda Biashara na Uwezeshaji
Waziri - Kalist Komu
Naibu- Mwambe
Elimu
Waziri - Suzan Lyimo
Naibu- Dr. Ally Suleiman Yusuph
 Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
Waziri - Dk. Godwin Mollel
Naibu- Zubeda Sakuru
 Habari
Waziri - Joseph Mbilinyi
Naibu - Devota Minja
Maji
Waziri - Hasan Bobali
Naibu - Peter Lijualikali
Katiba na Sheria
Waziri - Tundu Lissu
Naibu- Abdallah Mtolela

No comments: