Saturday 28 April 2018

Kipindi cha Ajenda ya Zanzibar chapamba moto Kupitia zaima TV

Pichani aliekuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Othman Masoud akitoka bungeni baada ya kupinga katiba mpya iliokuwa inataka kuimeza Zanzibar
Image result for othman Masoud Pictures
Serikali ya TANGANYIKA haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha za Muungano hata siku moja – asema  Juma Duni Haji
Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na fedha na waziri wa zamani kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, Juma Duni Haji, amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano haiwezi kukubaliana na uundwaji wa akaunti hiyo kwa kuwa huko kutakwenda kinyume na kile anachokiita “nia ya kuimaliza kabisa Zanzibar.”

Hayo yamo kwenye mazungumzo yake na Zaima TV kupitia kipindi cha Ajenda ya Zanzibar. Msikilize hapa.


Aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar










No comments: