Thursday 20 December 2012

SINGAPORE YA AFRIKA

Leo nitazungumzia Singapore ya Afrika wanaoyo dream Wazanzibari., officially the Republic of Singapore, is a southeast Asian city-state off the southern tip of the Malay Peninsula, 137 kilometres north of the equator.The country is highly urbanised with very little primary rainforest remaining, although more land is being created for development through land reclamation. Part of various local empires since being inhabited in the 2nd century AD, Singapore hosted a trading post of the East India Company in 1819 with permission from the Sultanate of Johor. The British obtained sovereignty over the island in 1824 and Singapore became one of the British Straits Settlements in 1826. Occupied by the Japanese in World War II, Singapore declared independence, uniting with other former British territories to form Malaysia in 1963, although it was separated from Malaysia two years later. Since then it has had a massive increase in wealth, and is one of the Four Asian Tigers. Singapore is the world's fourth leading financial centre, and its port is one of the five busiest ports in the world. The economy depends heavily on exports and refining imported goods, especially in manufacturing, which constituted 26% of Singapore's GDP in 2005. terms of purchasing power parity, Singapore has the third highest per capita income in the world. There are slightly over 5 million people in Singapore, of which 2.91 million were born locally. The population is highly diverse; the majority are Chinese, with Malays and Indians forming significant minorities. Reflecting this diversity, the country has four official languages: English, Chinese, Malay, and Tamil. Haya tuje kwetu kwa Balahau , nilisoma article moja ya New York times ikaeleza sababu za mafanikio ya taifa hli ni kuinvest kwenye human capacity leo ndio taifa hili likawa na nguu ya kiuchumi sio kuwa na migodi ya dhahabu wala visima vya mafuta Bali taifa hilo lilijitahidi kuinua elimu ya raia wake .Kwa miaka mingi ZNZ ilijisahau au ilikua na viongozi wasiona mbele Waliingiza nchi kwenye migogoro ya kisiasa isio ya lazima na athari ya kuwa na Viongozi walikuwa hawajatayarishwa kuwa viongozi bal i wamekua hand picked kwa maslahi ya wanasiasa sio kwa maslahi ya nchi, ndio leo tukaona nchi inavuja machozi kwa athari ya watawala waliopita leo Serikali yetu haina wataalamu wa kutosha na Tumpe Karume Haki yake ile dream ya Wazanzibari kuwa na University yao imeonekana sasa japo matunda yataonekana miaka michache ijayo .Nilipozungumza na Makamo wa kwanza wa Rais alipotembelea hapa alinimbia serikali yetu inakusudia kila miaka michache kuongeza Bajeti ya Elimu , nilifarijika kwa kuona licha ya ibilisi wa Katiba alieingia kati kwenye GNU bado Wanasiasa wetu hawajalose focus ya kuitaka ndoto yetu ya Singapore iwepo. On 31 August 1963, Singapore declared independence from Britain while Zanzibar gained it Indipendence on December 10 th 1963 same year na Kenya but nini kimetufelisha na kuturudisha nyuma wakati sote tumepata uhuru mwaka mmoja kutoka kwa Muingereza , makala hii ya Singapore ya Afrika nitaiendeleza pia Kesho kuwataka jamii ya Wazanzibari kubadilika . Singaporean students consistently rank in the top five in the world in the two major international assessments of mathematics and science knowledge. Singaporean students were ranked first in the 2011 Trends in International Mathematics and Science Study conducted by the International Association for the Evaluation of Educational Achievement and have been ranked top three every year since 1995.Singaporean students were also ranked top five in the world in terms of mathematics, science and reading in the 2009 Programme for International Student Assessment conducted by the OECD.[182] The country's two main public universities — the National University of Singapore and Nanyang Technological University — are among the top 100 in the world. Hivi karibuni nimegundua Wazanzibari wengi hasa Wafanyabiashara wenye uwezo hawasuubiri serikali kupata scholarship watoto wao bali wanawasomesha watoto wao wanawapeleka China , Turkey , India na Maleysia kuwasomesha elimu ya juu hili ni jambo jema kwa kuipunguzia mzigo serikali yenye bajeti ya kimasikini pia nilisikia wapo matajiri walionunua nafasi japo watoto wao hawana viwango vya kuingia kwenye Vyuo hapo Nyumbani .Hawa ni kama wale Rais Obama anaopambana nao Marekani kuwa wlaipe kodi zaid ikwa vile wana kipato kikubwa zaidi Serikali iwe faor wka raia wake lakini pia iwe fair kwa masikini na pia iweke uwazi kwenye suala la mikopo ya elimu ya juu , na ifike hata kutoa elimu kwa wazazi kabla ya Wanafunzi kumaliza High school Wazee wapewe taaluma namna ya kuweza kupata fincance na pia Serikali ije na sera ya kuzitaka bank zetu pia zitoe mikopo ya elimu kwa wazazi kuwadhamini watoto wao hii itaipunguzia serikali mzigo kwa baadhi ya rais wenye uwezo na kipato cha kuweza kuchukua mikopo kuwasomesha watoto wao. Jambo Jengine Serikali na Wizara ya Elimu Iwasaidie wazazi walioamua kusomesha watoto wao nje kwa Kuunda chombo cha ushauri kwa Wazazi kusimamiwa na Wiazara ya ELimu na University of Zanzibar kwa kuwaelimisha wazee wanaosomesha watoto wao nje kuwapa ushauri vyuo ambavyo vinakubalika kimataifa kwani inaonekana kuna Wazazi wana Pesa na kuwapeleka watoto wao nje bila kujua acreditation za hivi vyuo Wazee waanze kupewa uashuri wa ubora wa vyuo wnavowapeleka watoto wao tupunguze kwua na wasomi wasio na elimu ya kukubalika atahari itakua kubwa pia , sisemi Waambiwe Wazazi washauriwe Wawapeleke Havrad , Yale or Cambridge huko huko kwenye unafuu ila hivi vyuo vinavyokuja kwa siri Zanzibar kufanya recriutment vipewe vibali kwani si vyote ni vyuo vyengine ni bussness tu Wazazi na Wanafunzi wanatapeliwa na kupoteza mda ile nia ya human investment na ndoto yetu ya Singapore ya Afrika itakua haikutimia . Kwani tutakuja kufika kwenye kizaa zaa kua na macheki bob wenye utitiri wa Degree zisizo na thamani ya kuitwa degree na PHDs itakua tumefanya makosa yale yale ya waliofanya wanasiasa wetu kwani Viwango vya elimu ni Kitu muhimu sana kuangaliwa , nimeona high school zikifungwa hapa Washington DC na walimu kuachishwa kazi nawanafunzi kuhamishiwa kwenye shule zinazotoa grade bora pia kuipiga vita hii dhana ya tuition kwa wanafunzi kwani watoto masikini wengi hawawezi ku afford na athari kubwa pale MWalimu anapowaambia wanafunzi kama unataka kufaulu njoo kwenye tuition yangu jioni ya kulipia kwa wanafunzi, hapa ni kuwa Walimu hawatoi huduma mzuri darasani kwa makusudi kuvutia baishara yao na hapa kutakua na conflict of intrest Mwalimu achague kuijenga nchi na jamii yetu au awekwe Pembeni. Pia kutoa Mafao bora kwa Walimu wetu na kuongeza pressure kwa Walimu kuhakikisha shule zao na ikibidi Waziri wa ELimu kila mwaka Afukuze Walimu wakoo wa shule kumi za 10 bottom perfomance. Hii itawalazimisha walim uwa kuu kusimamia vyema shule zao kuhakikisha zinatoa matokeo mazuri na wanafunzi watakaoisaidia nchina hapo KAzi ya Ualimu itarudi tena thamani yake mfano n ilifikia Wakati hapa Washington Walimu walitakiwa Wafanya mitihani kila miaka michache ndio leseni yao ya Ualimu iwe renewed ukishindwa kupasi mitihani hufai kuwa mwalimu leo Dictrict of Columbia imeonesha tofauti baada ya kufanya reform kwenye elimu kiasi fulani na kufuata zile initiative za George Bush za no Child left behind http://en.wikipedia.org/wiki/No_Child_Left_Behind_Act.

No comments: