Monday, 30 December 2013

RASIMU YA KATIBA HII HAPA

Mchakato huu unafukiziwa ubani Bungeni; sheria inasema rasimu ya katiba Mpya itapita kama itapata asilimia 50 au zaidi (simple majority) ya watu wa Zanzibar na Tanganyika ambao ni wapiga kura !
http://www.katiba.go.tz/attachments/article/185/RASIMU%20(Final).pdf
TUJIKUMBUSHE WAPI TUMETOKA NAWAPI TUNAKWENDA!

MSIKILIZE MHESHIMIWA KIKWETE


MSIKILIZE MHESHIMIWA SEIF SHERIFF HAMAD

MSIKILIZE JAJI BOMANI

No comments: