Sunday, 29 December 2013

RASMU MPYA YA KATIBA KUWASHA MOTO ZANZIBAR ?


 Waziri  wa sheria wa Zanzibar Abubakar Khamis 


Watu wa mjini huwa tuna wimbo tunasema ‘supu tayari…’ lakini tunasema ikiwa supu hii ya Jaji Warioba itapungua chumvi au pilipili manga tutaiongeza, lakini kama mbaya hailiki tutamuachia mwenyewe supu yake” alidokeza Mansoor.
Wajumbe wengine wanaounda kamati hiyo ambao wote walikuwepo mkutanoni na kuzungumza ni Abubakar Khamis Bakar (CUF), Ismail Jussa Ladhu (CUF), Eddy Riyami (CCM) na Salim Bimani (CUF).
Katika mkutano huo, Maalim Seif alikabidhi kadi 459 kwa wanachama wapya walioamua kujiunga cha chama hicho, sambamba na kuweka mawe ya msingi katika matawi matatu mapya ya CUF ndani ya jimbo la Chaani, pamoja na kufungua barza ya vijana, iliyoyopewa jina la Barza ya Maalim Seif Sharif Hamad katika kijiji cha Bandamaji, Chaani.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Mzee Moyo .
Koti likikubana unalivua ! 
Aliekuwa Mbunge wa CCM Kiembe Samaki !


Mwakilishi  wa Jimbo la  Mji Mkongwe CUFMzee wa Sawa sawa ! Waliotiwa Grezani watolewe Mahkama za Kenge ziwape dhamana !

No comments: