Saturday, 25 January 2014

KIKWETE SOFT DIPLOMACY.

Maalim Karibu ikulu kila kitu kinazungumzika niachieni na mimi legacy ya kuandika katiba mpya !
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, amekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu  jijini Dar es Salaam. Viongozi hao wamekutana na kufanya mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 20. Kweli siri kali !

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe (CHADEMA) wakati wa mazishi ya mbunge wa Chalinze Marehemu Said Bwanamdogo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Miono Wilayani Bagamoyo jana.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments: